DOKEZO TRA yalalamikiwa kwa Uzembe na Hujuma Bandarini, Wafanyabiashara wa Mafuta wakimbilia Mombasa

DOKEZO TRA yalalamikiwa kwa Uzembe na Hujuma Bandarini, Wafanyabiashara wa Mafuta wakimbilia Mombasa

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Wafanyabiashara wengi sasa wanapitishia Mzigo Mombasa!!
 
Waombe kibali wafunge star link badala ya kuitegemea mitandao ya data iliopo.
 
TPA wametoa kwa Serikakali gawio la kiasi cha bilioni 153.Maana yake hicho kiasi ni sehemu tu ya faida.Wewe unasema hawafanyi vizuri wakati wanapata faida kubwa hivyo.
Taarifa nyingi za serekali ni za kupika, don't them serious.
 
DP World anahusika vipi na mafuta ??? Waulizeni vizuri TRA nini shida ???
 
Back
Top Bottom