R Rabbon JF-Expert Member Joined Apr 16, 2022 Posts 21,625 Reaction score 33,688 Jun 13, 2024 #21 Wafanyabiashara wengi sasa wanapitishia Mzigo Mombasa!!
ofisa JF-Expert Member Joined May 15, 2011 Posts 4,340 Reaction score 4,069 Jun 13, 2024 #22 Waombe kibali wafunge star link badala ya kuitegemea mitandao ya data iliopo.
Tindo JF-Expert Member Joined Sep 28, 2011 Posts 63,730 Reaction score 111,542 Jun 13, 2024 #23 Kimalingano said: TPA wametoa kwa Serikakali gawio la kiasi cha bilioni 153.Maana yake hicho kiasi ni sehemu tu ya faida.Wewe unasema hawafanyi vizuri wakati wanapata faida kubwa hivyo. Click to expand... Taarifa nyingi za serekali ni za kupika, don't them serious.
Kimalingano said: TPA wametoa kwa Serikakali gawio la kiasi cha bilioni 153.Maana yake hicho kiasi ni sehemu tu ya faida.Wewe unasema hawafanyi vizuri wakati wanapata faida kubwa hivyo. Click to expand... Taarifa nyingi za serekali ni za kupika, don't them serious.
B Benderea JF-Expert Member Joined May 25, 2021 Posts 686 Reaction score 1,303 Jun 14, 2024 #24 DP World anahusika vipi na mafuta ??? Waulizeni vizuri TRA nini shida ???
Ushimen JF-Expert Member Joined Oct 24, 2012 Posts 40,828 Reaction score 99,523 Jun 14, 2024 #25 TRA Tanzania