TRA Yaweka rekodi Mpya Kwa Kukusanya Trilioni 16.5 kwa miezi 6. Yavuka Malengo kwa asilimia 103%.

TRA Yaweka rekodi Mpya Kwa Kukusanya Trilioni 16.5 kwa miezi 6. Yavuka Malengo kwa asilimia 103%.

point yako ilikuwa bank zimekuwa zikiripot ongezeko kila mwaka na sababu yako kuu imekuwa ni inflation sasa hoja imekuja kama zilikuwa zinaripoti ongeeko la faida ikawaje mwaka 2016 to 2017 zikadrop almost by a half wakatvalue ya dollr iikuwa juu zaid ya mwaka 2013
View attachment 3190789
Mkuu umeweka vizuri hii kuanzia 2010 hadi 2014 in a plain language, Sasa naomba uweke kuanzia 2014 Hadi 2020 Kama hivi ulivyoweka. Naomba sana ufanye hivyo tafadhali
 
Mkuu umeweka vizuri hii kuanzia 2010 hadi 2014 in a plain language, Sasa naomba uweke kuanzia 2014 Hadi 2020 Kama hivi ulivyoweka. Naomba sana ufanye hivyo tafadhali
jbu kwanza kwanni inflation haikupelekea crdb waripoti faida kubwa 2017 wakti inflation ilikuwa ubw na walikuwaa na matawi meng tofauti na mwaka 2014
 
Hizo pesa zinakwenda wapi niliona uzi humu wakazi wa Kimara , Dar es Salaam wakitoa lawama kwa kukosekana kwa maji wiki 3!
 
jbu kwanza kwanni inflation haikupelekea crdb waripoti faida kubwa 2017 wakti inflation ilikuwa ubw na walikuwaa na matawi meng tofauti na mwaka 2014
Mkuu kwa nini usiweke kama hapo juu ulivyoweka? Umeweka taarifa nzuri sana a very simple analysis kutoka 2010 mpaka 2014. Naomba ufanye hivi pia kwa 2014 mpaka 2020. Hilo swali lako litajibika hapo

Pia nitajifunza hii bank faida yake ilikua inakua kwa asilimia ngapi kila mwaka. Naomba huo msaada pleass
 
Nimetaja Tarura imeoza,kwa sababu, wameshindwa kumlipa mkandarasi anayejenga Barabara Kwa kiwango cha changarawa na makalvat kutoka Matundasi chunya kwenda Itumbi kms 13 TU.
Mkandarasi amekimbia site,huku kila siku ,mnashinda mitandaoni mkimsifia Eng. Seif CEO wa Tarura,kumbe hakuna kitu.
Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara za Vijijini Mhandisi Victor H. Seff ametekeleza ahadi ya kuhakikisha Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) kupitia mradi wa RISE imetoa mafunzo maalum kuhusu masuala ya unyanyasaji wa kijinsia na usawa wa jinsia katika utekelezaji wa mradi wa RISE.

ENDELEA KUSOMA ZAIDI HAPA👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇
 
Hizo pesa zinakwenda wapi niliona uzi humu wakazi wa Kimara , Dar es Salaam wakitoa lawama kwa kukosekana kwa maji wiki 3!
Hata mwezi wanaweza kukosa, mahitaji ni mengi sekta zote na watu wanaongezeka sio swala la watu wa Kimala.pekee
 
Wewe Sasa sio mjinga tuu Bali ni Lofa.Unadhani Kimara pekee ndiko wanahitaji maji? Hata mwezi wanaweza Kukaa bila maji .

Na utazidi kuwa lofa kudhani kazi iliyowashinda Wengine Kwa miaka yote ataimaliza Samia Kwa miaka 4.5.

Hata Chalinze wanahitaji maji 👇👇

View: https://www.instagram.com/p/DEl8AGctpfV/?igsh=MXhjMWtmcXZrczFhZQ==

Huwezi kuniambia maji sio kitu cha msingi na ni jukumu la serikali kuhakikisha maji yapo 24/7

Tanzania ina vyanzo vingi vya maji kuliko hata baadhi ya nchi nlizotembea na kule hukuti maji yakikosekana hata dakika 1.
 
Aliyesema maji sio kitu Cha msingi ni nani?

Kama unadhani Kimala pekee ndio spesho wa kupata maji basi tumechelewa sana kujua kama wewe ni mjinga.

Samia hawezi Mali za shida zenu zote za maji Kwa miaka 4.5 wakati mumeshakuwa na Marais 5 kabla na hawakuzimaliza.

Kama ulidhani nyie ni spesheli sana Sasa mtakaa hata mwezi hamna maji,Bunda Nako wanahitaji maji 👇 👇

View: https://www.instagram.com/p/DEfzj_xuUQC/?igsh=YmE0N3AxejNxMXZy
 
Kimala ni wapi ?

Jifunze kuandika.
 
Back
Top Bottom