TRA Yaweka rekodi Mpya Kwa Kukusanya Trilioni 16.5 kwa miezi 6. Yavuka Malengo kwa asilimia 103%.


Sasa kwanini anachoma nyaraka na majengo ya wananchi. Tunajua ufisadi wote!!! acheni ujinga
 
Jengo leo limechomwa na hao hao wafanyakazi wa TRA ghorofa ya tano ambayo ina rekodi za siri. Nyie mnashinda kwenye mitandao na uchawa uchawa
Kwa nini wanachoma? Wanaficha au Kuharibu nini?
 

Mpina katupa siri yao. Kumbe wanaweka malengo madogo ili wafikie target. Nyingine watakuwa ndiyo hizo wanazotulingishia mtaani wakitanua.
 
Mpina katupa siri yao. Kumbe wanaweka malengo madogo ili wafikie target. Nyingine watakuwa ndiyo hizo wanazotulingishia mtaani wakitanua.
Unaweka malengo kulingana na ukuaji wa Uchumi.

Huwezi weka Trilioni 50 wakati unaweza pata Trilioni 30 utakuwa alichaa kama Mpina asivyoelewa.

By the way awe anaangalia malengo ya Kila mwaka ndio atapata uhalisia
 
Kukusanya ni moja, muhimu je tunazitumiaje? Maana sasa hivi tunaambiwa deni la taifa ni Trilion 96.
Yaani kwa hesabu za haraka haraka kwa idadi yetu ya mil 70 basi kila mtanzania anadaiwa 1.4m
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…