milele amina
JF-Expert Member
- Aug 16, 2024
- 6,045
- 8,080
Hata sensa ya watu na makazi 2022 inahitajika kufanyiwa verification haraka sana!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Weka za kwenye altare za kwakoTakwimu za mezani za akina Mwenda.
Kwa nini?Hata sensa ya watu na makazi 2022 inahitajika kufanyiwa verification haraka sana!
Tanroads wameshindwa kulipa wakandarasi unasema fedha zinaingia hazina!🥺Mzee mwisho wa mwaka Huwa wanaonesha vyanzo vya Mapato baada ya reconciliation,hata Sasa ukita watakupa.
Swala la verification hizo hela zinaingia Hazina
Hakuna watu milion 60+Kwa nini?
Huwezi sema Wameshindwa Bali Serikali ime shift vipaombele.Tanroads wameshindwa kulipa wakandarasi unasema fedha zinaingia hazina!🥺
Wakandarasi sasa wameanza kuuziwa nyumba na mitambo yao na mabank ,unasema fedha zimeingia hazina?
Kawetere ya wapi? Ndio pesa hizo zimekusanywa Sasa watalipwaHigh way ya kutokea Mbeya Mjini ,kwenye milima ya Kiwetere, imebomolewa yote,mkandarasi amekimbia site!
Sasa mnasubiri ajali zimalize watu ndio muamke ,unasema fedha ziko hazina😭
Huwezi sema Wameshindwa Bali Serikali ime shift vipaombele.
Madeni yakiiva huwezi lipa Mkandarasi ukaacha kulipa deni la Nje 👇👇
View: https://www.instagram.com/p/DEMWKKgq3BC/?igsh=MXUwYnA4aHFpNjU5ZA==
Mwisho kama Serikali ingeshindwa kuwalipa wakandarasi kama unavyosema miradi ingesimama na wakandarasi wasingeingia site na in fact wasingefanya kazi lakini wako site na mingine inazidi kuzinduliwa
View: https://www.instagram.com/p/DERXpSZoe2v/?igsh=ZXJscXF4aGhqaWRv
Milima hatari Tanzania,kuelekea chunya,ukitokea mbeyaKawetere ya wapi? Ndio pesa hizo zimekusanywa Sasa watalipwa
Hiyo road Iko kwenye plan ya kujengwa njia 4,sijui JAICA wamefikia wapi na SerikaliBarbara ya Himo- Moshi Mjini kwenda Tengeru Arusha ni mashimo mwanzo mwisho, anatueleza habari za ndungu kijijini🙃
Hiyo Barabara ya Mbeya- chunya-Makongolos ni lami,hapo mlimani wanafanya nini tena?Milima hatari Tanzania,kuelekea chunya,ukitokea mbeya
Kwa serikali ya Saa100 ya kuchapisha picha na mabango tarajia ziro mkuu.Hiyo road Iko kwenye plan ya kujengwa njia 4,sijui JAICA wamefikia wapi na Serikali
Hii ndio Serikali imejenga na inajenga Barabara nyingi kuliko yeyote kabla.Kwa serikali ya Saa100 ya kuchapisha picha na mabango tarajia ziro mkuu.
Hapo eneonla mlimani karibia kms 6 ,wameondoa lami yote,sasa ni miezi 6, hakuna kinachoendelea.Hiyo Barabara ya Mbeya- chunya-Makongolos ni lami,hapo mlimani wanafanya nini tena?
Manake wanafanya overlay ilijengwa chini ya kiwango kama Ile ya Iringa-Dom chini ya Waziri wa Ujenzi Magufuli 😄😄Hapo eneonla mlimani karibia kms 6 ,wameondoa lami yote,sasa ni miezi 6, hakuna kinachoendelea.
Tanganyika hakuna eneo la Barbara hatari kama eneo Hilo, na bado serikali inacheza na roho za watu
Hawajawahi jiwekea malengo madogo na ndio maana hakuna mwaka wamewahi vunja rekodi isipokuwa mwaka huu.Hawa viongozi wa TRA wanachekesha sana.Yaani malengo wanajiwekea madogo halafu wanajidai wamevuka malengo?Kenya imekusanya mara tatu ya hicho wanachojidai kuwa wamevuka malengo.
Kiwetere hii hapa!Kawetere ya wapi? Ndio pesa hizo zimekusanywa Sasa watalipwa