Best Newcomer ni nani?Nimeshaweka sawa list ya washindi kwenye post number 2, asanteni.
Naona umehighlight kwa Ali Kiba ndiye anaonekana mshindi kwa hiyo post no. 2Newcomer na Caribbean ndio sijapata bado.
Mshindi ni Nandy Mkuu.
Aisee niliona aibu Mimi juzi...Mikocheni😀😀😀elufu mbili na kumi na tano....Nashukuru sana Mkuu, nimerekebisha.