Trace Awards 2025: 26 February Mora Resort, Zanzibar

Hizi tuzo zilikuwa na drama nyingi sana. Ali Kiba alindoka bila kutumbuiza, huku Rema akitumbuiza kwa dakika 2 tu!

Hata Fally Ipupa jana hakupenda walivyokatisha show yake.

Nafuatilia matukio nitawaletea videos..
 
Mnanichekesha sana. Hafla iliisha bila ya washindi kutangazwa!

Hizi tuzo hapana!
Hapa mkuu hata credibility ya tunzo imeshuka Sana, hasa Kwangu nimewavua nyota trace music award coordinators. Labda ni ushamba wangu lakini Kuna event yoyote ulimwenguni ambayo ina utaratibu wa kutangaza washindi baada ya watu kwenda kulala?
 
Ni tukio la aibu sana. Kamati yote ya maandalizi wanatakiwa kuwajibika.
 
Nilisikia sns wanasema waandaji wenyewe walikua wanavutana vutana wakati fulani siku ya Jana kwenye eneo la tukio.
Lazima iwe hivyo. Na mpaka sasa hawajajitokeza kuomba radhi.

Na ambavyo hawatangazi washindi sijui wanataka kuandaa hafla nyingine? Ngoja tuone.
 
Kwamba tuzo zilizotakiwa washindi kutangazwa jana kwenye event mpaka sasa hawajatangazwa zaidi ya kuwa na live performances kwenye show na Red carpet photo shooting..kwakweli hii kali sijawah kuona,waandaaji ni watu wa wapi?
 
Huu ukimya hadi sasa nina imani wanataka kuirudia.

Waandaaji ni haohao Trace, nilimuona Seven Mosha huko pia sasa sijui naye alishiriki kwenye uandaaji?
 
Na mimi pia ningependa kujua uhusika wa Seven Kwenye hiyo event.

Kuna uhuni umechezeka hapo wa kuharibiana ugali.... Kuna watu wali fanya maandalizi ya kukomoana ili kupokonyana tonge... Muda utasemaa
 
Back
Top Bottom