Trace Awards 2025: 26 February Mora Resort, Zanzibar

Trace Awards 2025: 26 February Mora Resort, Zanzibar

IMG_6939.jpeg
IMG_6940.jpeg

Muonekano wa Diamond usiku wa leo.

Juu kapendeza chini kama kawaida Noel kafanya yake…
 
we unasema wanyarwanda? Mi nawaza wapopo tu kesho watapoanza kuchambua the whole event ilivyokuwa fumbled na kuanza kucompare na zao 😂
Naona wapo huko wanalilia kuwaona PJ. Tokea Jux aoe kwao wanampenda kinoma.
 
Watatulaumu bure tu, although bragging lazima ziwepo kwa watangulizi wetu, haikwepeki hii experience sio nzuri itakapokuja issue ya referrence kwa huko mbeleni.
Imeniuma sana, nilipania kuona show safi na live mwanzo mwisho, dah!
 
Back
Top Bottom