Trace Awards 2025: 26 February Mora Resort, Zanzibar

Trace Awards 2025: 26 February Mora Resort, Zanzibar

Tunatia aibu, hii event imepewa kichawa au kindugu.
  • mic zinasumbua
  • mpangilio wa matukio haueleweki
Event kubwa lakini kwa jinsi ilivyopangiliwa hata graduation ya chekechea ina afadhali!

Waandaaji wamezingua sana, ingekuwa ni Watanzania kesho Diamond angeamka nao.
 
Tunatiaje sisi aibu? Planner ni wao wenyewe Trace, wabongo tunaingiaje hapo? Au ndio nyie kila kitu ni kulaumu tu?
Event kubwa lakini kwa jinsi ilivyopangiliwa hata graduation ya chekechea ina afadhali!

Waandaaji wamezingua sana, ingekuwa ni Watanzania kesho Diamond angeamka nao.
Sikujua kwamba walioandaa ni Trace, nilidhani ni wabongo wenzetu.

Maandalizi ya hii event ni mabovu sana

Tatizo ni nini ?
 
Sikujua kwamba walioandaa ni Trace, nilidhani ni wabongo wenzetu.

Maandalizi ya hii event ni mabovu sana

Tatizo ni nini ?
Utadhani wamekurupuka, hata Wasafi Festival ina afadhali.

Hii show ya Fally Ipupa imeweka mambo sawa.
 
Mbona wamemkatia Fally show yake sasa? Dah

Ila wamechelewa wanakimbiza mambo harakaharaka.
 
Tuzo zimeisha

w.png
 
Back
Top Bottom