princess ariana
JF-Expert Member
- Aug 19, 2016
- 9,245
- 18,347
Marioo n Stageeeeee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mambo mengi unayaleta tu yatajijua yenyewe😅 ifike mahala tuwe kama kina doto magari tujiamini tu kama tumelewa liwalo na liweNdio maana tunasema..huitaji kuwa na mambo mengi kwenye lugha ya Malkia...
Niko DStvWeka 174 kama azam wana perform
Niko DStv
Nishaziona tayariiHuko hata sijui ni trace mziki search tu
iyo uliyoweka ishafungiwaYa YouTube nilishaweka, au nenda tu hukohuko utaona hii show inarushwa na channel nyingi.
Yes
Fall ipupa tena.........wakati kwao kuna vita hiyo furaha anaipata wapi ya kukata mauno??View attachment 3250375View attachment 3250377
Watakaotumbuiza LIVE jioni ya leo, Diamond Platinumz pamoja na Rema kutoka Nigeria.
Hapa Trace hawajatutendea haki, kwanini isiwe Fally Ipupa? Labda kama kuna list nyingine tofauti na hii.
hata mimi sijaelewa, namuona huyuKipengele cha producer bora sasa, mbona sijaona jina la Zombie wetu?
Na aliyeshinda ni P Prime MMS
Waandaaji hawakujipanga, kila kitu kiko hovyo.Hivi ni screen yangu tu inazingua au ni vipi? Sijajua organiser wa hii event ni nani... Ila kwenye stage set up amechemka... Imekaa local sana.. Lights pia hazipo vizuri.