Trace Awards 2025: 26 February Mora Resort, Zanzibar

Trace Awards 2025: 26 February Mora Resort, Zanzibar

Cha kuokote lazima kikudhalilishe, hasa ukiongea sana.

Naona hadi wale watangazaji walishtuka wakamuacha tu.
Yes...😀😀wenzetu kama hujui English..unakuwa na mambo machache sana.Sio dhambi....
Kuna Mu Algeria alipita pale alikuwa simple mno..

Sasa sie akaja na Diamond she.....😀😀😀nimejisikia vibaya mno kama Mtanzania mwenzangu.😪😪😪
 
Kwani Diamond ameshapita? Mi kwenye TV naangalia matangazo tu hapa hadi nasinzia.

Na hivi kumbe dogo alimuita Diamond she? Sijasikia vizuri.
 
Kwani Diamond ameshapita? Mi kwenye TV naangalia matangazo tu hapa hadi nasinzia.

Na hivi kumbe dogo alimuita Diamond she? Sijasikia vizuri.
No ...ni kijana wetu alivyopotea😀😀😀huku pia nipo kwa Tv naona matangazo tu..time ni kama 23:30P.M ndio pilika zitaendelea..
 
No ...ni kijana wetu alivyopotea😀😀😀huku pia nipo kwa Tv naona matangazo tu..time ni kama 23:30P.M ndio pilika zitaendelea..
Basi sikuwa makini hapo.

Au itakuwa wakati anasema ni boss wake? 🤣🤣
 
Mbona tuzo zenyewe huku kwenye TV hazieleweki...!!!!
Nimeacha usingizin wangu vitu wanavyoonesha ni upuuzi, nipo Trace Music(174) Azam... Yaan ni ushubwada tupu
 
Yes...😀😀wenzetu kama hujui English..unakuwa na mambo machache sana.Sio dhambi....
Kuna Mu Algeria alipita pale alikuwa simple mno..

Sasa sie akaja na Diamond she.....😀😀😀nimejisikia vibaya mno kama Mtanzania mwenzangu.😪😪😪
Ila sio lugha yetu sio mbaya... ni kama sisi tukiskia mtu wa nje anaongea kiswahili
 
View attachment 3250382

Jioni ya leo February 26 kutakuwa na kilele cha msimu wa pili wa tuzo za muziki zinazojulikana kama Trace Awards huko visiwani Zanzibar.

Tukio hilo litakalofanyika viunga vya hadhi ya juu kistarehe, Mora Resort zitahudhuriwa na mastaa wakubwa Afrika wakiwemo Davido, Rema, Fally Ipupa, WizKid, Diamond Platnumz, Burna Boy, Ali Kiba, Zuchu na wengineo.

Msanii wa hapa nyumbani kwetu Diamond ameonekana kuziteka tuzo hizo kwa kupendekezwa katika vipengele vingi zaidi, huku Zuchu, Ali Kiba, Abigail, Mboso pamoja na mwanamuziki wa Injili Bela Kombo wakiambulia vipengele vichache.

Nitakuwepo hapa kuwapa updates zote, kuanzia drama za kwenye red carpet hadi kwenye unyakuaji wa tuzo.

We here, LIVE.

Muhimu
Tukio hili litaruka LIVE kupitia DStv Channel 323, Wale wa Azam walisema watarusha live pia Channel 174 pamoja na 106.

View: https://www.youtube.com/live/iAf5Zl1_yos?si=aEZiOmBpHlbvWMl-

Nimekaa hapa sioni hizo tuzo
 
Back
Top Bottom