Trace Awards 2025: 26 February Mora Resort, Zanzibar

Trace Awards 2025: 26 February Mora Resort, Zanzibar

Tayari tukio limeanza kuruka LIVE, na sasa ni matukio kutokea blue carpet…
 
Mimi kama mdau wa fashion nainjoi sana kuangalia drama za hii blue carpet.

Na wanahojiwa kwa English naona kidogo na Kifaransa, itakuwaje akina Masha Love sasa? Au wataishia kupiga picha pekee?
 
Aaliyah kapendeza mnooo! Hivi Diamond kwanini asimuoe huyu mdada mzuri hivi ambaye familia yake ndio wanamtaka?

Na Aaliyah ndiye host wa tukio la ugawaji tuzo leo, nasubiria picha niwawekee hapa namna alivyopendeza.
 
Mimi kama mdau wa fashion nainjoi sana kuangalia drama za hii blue carpet.

Na wanahojiwa kwa English naona kidogo na Kifaransa, itakuwaje akina Masha Love sasa? Au wataishia kupiga picha pekee?
Naona Ariya, Mtangazaji wa Wasafi Kapita hapo. She is so Good and Proffesional.

Hata wakati wa kugawa Tuzo za TMA, ali wa outshine wale wahuni wa kiume kwa maoni yangu
 
Back
Top Bottom