Trace Awards 2025: 26 February Mora Resort, Zanzibar

Trace Awards 2025: 26 February Mora Resort, Zanzibar

Mpaka saizi nmemuona Aaliya na yule dogo wa Diamond kama sijamfananisha...
Hapo naona wabongo wengi watakimbia😅😅😅
Sema huyo Dada anaehoji aheri wangempa yule aliekua Mc wa Hamisa hajanoga hata!
Naona wakenya tu na wafaransa😅😅😅
Mimi kama mdau wa fashion nainjoi sana kuangalia drama za hii blue carpet.

Na wanahojiwa kwa English naona kidogo na Kifaransa, itakuwaje akina Masha Love sasa? Au wataishia kupiga picha pek
 
Lover Boy 🤣🙌🏾

Ila Noel akamatwe kabla hajawageuza Wasafi vichaa, anaishi fantasy za ujinga wake kwenye mavazi anayowabunia.

Juzijuzi kamvalisha Diamond lace naye akavaa tu kama chizi.
Hivi kumbe ndo wanavaa kutoka kwa yuel muhuni. Basi sitawashangaa tena 😃
 
Back
Top Bottom