Traces (Kuacha alama)

Traces (Kuacha alama)

syndicate

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2016
Posts
238
Reaction score
391
Karibu kwenye jukwaa! Karibu wana JF na wanaGT.

Nitambue mchango mkubwa wa Bw. Mello kama sikosei katika jukwaa hili.

Leo nitaomba kwa pamoja tudiscuss suala la kuacha alama!
Somo ni pana sana kwasababu linahusu usalama na utambuzi, pia limejikita moja kwa moja kwenye CRIMINOLOGY NA FORENSIC KNOWLEDGE.

Kama maneno haya mawili kwako ni mageni mwana JF, unawez ukagoogle kwa AI na ukapata madini MUBASHARA KABISA!

Kwa wana GT sina wasiwasi najua kuna mengi nitayaacha either kwa makusudi au kwa bahati mbaya mnaweza kujazia lakini MSIPASUE CHUNGU.

Lengo la somo ni kupeana uzoefu wa matukio mbalimbali katika maisha ambayo yameacha alama katika maisha yako na ya wengine kupitia wewe.

DISCLAIMER ALERT: Lengo la somo sio kuongeza ujuzi wa kufanya uhalifu miongoni mwa jamii iwe kwa waalifu wazoefu au wapya!
Jukwaa la intelligence ni jukwaa huru hivyo una karibishwa kushare INTEL MISTAKE MOJA AU MBILI ILIYOSABABISHA KUACHA ALAMA KWA WATAMBUZI.

MOJA KWA MOJA KWENYE MADA!
Duniani kumekuwa na matukio mengi na visa yaliyoacha watu midomo wazi au kusababisha matokeo makubwa ambayo ni gumzo mpaka sasa, Matukio mengine yamesababisha mitahala ya elimu kubadilisha na taaluma mbalimbali kuyatumia kama study scenarios katika gurudumu la elimu na pengine kesi nyingi sana huko mahakamani mahakimu na majaji wametumia scenario za (KUACHA ALAMA) kama conclusional reference za kesi walizohukumu.

MASOMO MBALIMBALI.

VERBALLY TRACES. (ALAMA ZINAZOACHWA NA MATAMSHI)

Hapa ni zile kauli zote unazozitoa baada ya tukio kutendeka.
Kuwa makini sana hasa wewe kama ni mhusika wa tukio.
Mara nyingi mhusika anapaswa kuchunga ulimi wake sana.
Suala hili watu wengi limewashinda na wameingia kwenye mtego.
Umefanya tukio mfano umeua au umeiba au umezini na mke wa mtu watu wengi baada ya tukio wanashindwa ku'act (kutenda) au kuvaa uhusika sawa sawa na mtu ambaye ajatenda tukio husika, mfano umeua unashindwa kuongea kama vile ulivyokuwa unaongea kabla hauja'ua (GET A POINT), and so oooon.......
Mwisho wa siku unawarahisishia kazi watu wenye taaluma AU WENYE AKILI za kuzijua TRACES! KUPITIA ULIMI WAKO MBOVU.

BODY LANGUAGE TRACES.

Umefanya tukio, mfano umeaua au umezini au umesema uongo au kuiba pesa nyingi, unashindwa ku'train ubongo wako kufanya body posture ku'calm!
Moja kwa moja unagawa material kwa wepesi sana kwa WATAMBUZI, huoni ujinga na ni ujinga kwasababu unaweza kujifunza how to retain after BANG. MADARASA YAPO RUDI SHULE TRAIN HARD TO BECOME A MASTER/MISTRESS.

TACTICAL FIELD TRACE.

Hapa ndiyo kunatokeaga makosa mengi sana kuanzia kwa wasuka mipango(STRATEGICAL ORDER) mpaka watekelezaji(OPERATIONAL ORDER).
Watu wanenda mpaka vyuo mbalimbali kusoma how to correct /erase error leaving the scene with no TRACE behind lakini bado makosa ya kiufundi yapo mengi sana.

Unampa mtu OP's lakini nature ya huyo mtu unayemchorea ramani sio kujiongeza, uwezo wa kufikiri nje ya box ni mdogo sana hapo unakaribisha traces, Kumbuka traces sio kufeli kwa mission, MISSION INAWEZA KUFAULU LAKINI IKAACHA ALAMA AMBAZO ZIKASABABISHA POST MISSION FAILURE AU UNNECESSARY ACCOUNTABILITY.

Nitataja sababu tatu tu, kwanini makosa haya hutokea sababu zingine utaongezea lakini usivunje CHUNGU.

01. HUMAN ERRORS(Common mistake)
02. TECHNOLOGICAL IMPERFECTIONS
03. INCOMPETENCE
Yapo mambo mengi sana lakini karibuni yote yanaangukia kwenye haya matatu.

MATUKIO HALISI.
01.Rais JF KENNEDY kupigwa risasi na kuuawa.
02. DR. Ulimboka wa Tanzania kutekwa na kuteswa na kutupwa kwenye msitu wa pande.
03. Tukio la DJ Cooper kuiteka ndege ikiwa angani marekani (Japo ili tukio kwa jicho la tatu limekaa kibiashara zaidi)
04. Traces in Postmortem findings
05. Vifo mbalimbali vya viongozi kwa ajali au vile vinavyoonekana ni normal death mfano Sokoine, rev mtikila, JPM etc
06................................
07.................................
08. Hotuba mbalimbali za viongozi afrika mashariki zenye utata mkubwa kutokana na matukio mbalimbali, ikiwemo vifo vya wanawake kadhaa nchini kenya.
09.Genocide Rwanda April - July 1994
10.Matukio mawili ya majaribio ya kumuua rais wa zamani na mgombea kiti cha urais wa MAREKANI BW. DONALD TRUMP.

Nimeacha gaps hapo juu kwa makusudi au bahati mbaya.


NB: Inawezekana thread hii pia ikawa imeacha traces fulani, karibu kuchangia au kuelezea hizo traces kwaajili ya KUJIFUNZA.

Karibu na wewe mwana JF weka matukio ya kizembe yaliyoacha traces mbalimbali katika maisha ya watu TANZANIA NA DUNIANI, KARIBUNI......
 
Waliosema practices makes perfect hawakukosea kabisa, maana hata hao unaowaona ni competent wamekosea mara nyingi sana na aghalabu wamelipia gharama ya makosa yao jambo ambalo limeongeza umakini katika kutekeleza uhalifu wao kama vile kuteswa sana ama kutumikia adhabu kama vifungo au being suspended.
Ndiyo maana kushughulika na habitual criminal ni kazi ngumu kidogo tofauti na beginer.
Kwenye criminology huwa wanaamini muhalifu huwa haondoki kwenye crime scene, ile kuita leaving no traces behind inategemea na level of competences za criminal na investigator and technology used in crime scene investigation.
I hope sijavunja jungu
 
Waliosema practices makes perfect hawakukosea kabisa, maana hata hao unaowaona ni competent wamekosea mara nyingi sana na aghalabu wamelipia gharama ya makosa yao jambo ambalo limeongeza umakini katika kutekeleza uhalifu wao kama vile kuteswa sana ama kutumikia adhabu kama vifungo au being suspended.
Ndiyo maana kushughulika na habitual criminal ni kazi ngumu kidogo tofauti na beginer.
Kwenye criminology huwa wanaamini muhalifu huwa haondoki kwenye crime scene, ile kuita leaving no traces behind inategemea na level of competences za criminal na investigator and technology used in crime scene investigation.
I hope sijavunja jungu
Umetisha sana!
 
Kila mhalifu ama uhalifu lazma uache alama ,fanya ufanyavyo lakn jua ukikutana na Detectives walioonyooka umeisha.wahalifu huwa wanajua hilo so wanachofanya ni kuacha False traces ,mfano True detectives connect Dot get your criminal
 
Kila mhalifu ama uhalifu lazma uache alama ,fanya ufanyavyo lakn jua ukikutana na Detectives walioonyooka umeisha.wahalifu huwa wanajua hilo so wanachofanya ni kuacha False traces ,mfano True detectives connect Dot get your criminal
Huko sawa, hii ina resemble na addiction examples, when somebody's got stuck to a certain addiction can only solve it through placebo (another addiction)., Ila hii ina apply kwa watu wenye technolojia zinayofanana lakini huku dunia ya tatu huku changamoto ya technolojia ni kubwa sana! Bado tumestuck kweny finger print na foot prints!
 
Back
Top Bottom