Shukran kwa ushauri ndugu lakini Massey sizioni mikoa ya kati dodoma na manyaraZote hizo ni vyuma haswa. Massey ferguson zipo za pakistan na uingereza. Uingereza ndo bei juu zaidi na spare ndo hivyo hivyo. New holland nae yupo vizuri sana
Massey Ferguson ni mashine Ila iwe ya Ulaya Sio Yale ya Pakistan. New Holland pia yapo vizuri SanaWajuzi na wazoefu wa kilimo nataka kununua tractor la kulimia liwe multipurpose kwa kulimia knye mashamba ya mpunga ludewa na mbarali lakini pia kwa kilimo cha mahindi vwawa . Nasikia massey ni imara sana na spea ni bei rahisi na life span yake ni ndefu ila new holland td 82 naona kama lina nguvu na ndo nilizoea kuyaona turiani yakilima knye mpunga na ifakara huko sijawahi kuona massey ferguson . Nishaurini lipi bora nissiiingie chaka
Wajuzi na wazoefu wa kilimo nataka kununua tractor la kulimia liwe multipurpose kwa kulimia knye mashamba ya mpunga ludewa na mbarali lakini pia kwa kilimo cha mahindi vwawa . Nasikia massey ni imara sana na spea ni bei rahisi na life span yake ni ndefu ila new holland td 82 naona kama lina nguvu na ndo nilizoea kuyaona turiani yakilima knye mpunga na ifakara huko sijawahi kuona massey ferguson . Nishaurini lipi bora nissiiingie chaka
NJOO ZANA BORA LTD UPATE ZANA IMARA
Atakuja na Mahindra huyo maana tractor za Indiana China Wahawasemi brand gani wanakuambia njoo tukupe tractor imara kwa bai nafuuWeka sifa kwanza bwana
Jitangaze na utushawishi
😄😄😄Atakuja na Mahindra huyo maana tractor za Indiana China Wahawasemi brand gani wanakuambia njoo tukupe tractor imara kwa bai nafuu
Wajuzi na wazoefu wa kilimo nataka kununua tractor la kulimia liwe multipurpose kwa kulimia knye mashamba ya mpunga ludewa na mbarali lakini pia kwa kilimo cha mahindi vwawa . Nasikia massey ni imara sana na spea ni bei rahisi na life span yake ni ndefu ila new holland td 82 naona kama lina nguvu na ndo nilizoea kuyaona turiani yakilima knye mpunga na ifakara huko sijawahi kuona massey ferguson . Nishaurini lipi bora nissiiingie chaka
Shukran kwa ushauri ndugu lakini Massey sizioni mikoa ya kati dodoma na manyara
Ulimbo Swaraj zaidi ya dodoma na kondoa sizioni ifakara wala mbeya zina mudu kweli kazi ngumu?Kila moja inafaida na hasara zake.
Massey inadumu kwa muda, na matengenezo yake si ghali, ila haina uwezo wa kufanya kazi muda mrefu mfululizo.New holand inaweza fanya kazi kubwa mfululizo lakini ikiharibika matengenezo ni ghali, na si rahisi kuitengeneza ikarudi sehemu ya awali.
Mfono, KAMA MASSEY ITALIMA 20HEKA KWA SIKU, NEW HOLANDI ITALIMA 30-40 KWA SIKU.
NAKUSHAURI UNUNUE SWARAJ NI NZURI ZAIDI NA MATENGENEZO YAKE SI GHALI
Kiberege pale swaraj huwa zinakuja msimu wa kuandaa mashamba na zinalima vizuri tu. Sema madereva wengi(si wote) wa swaraj mawenge sana. Zinaendeshwa utafikiri gari tu. Yani shambani linakimbizwa hatari, matokeo yake udongo unarushwa mbali na wanaacha viraka vingi sana. Kumudu kazi ngumu inaweza ila inategemea na aina ya kazi pia. Kubeba magogo mazito swaraj haitomudu kwa muda mrefu ila kulima eka 10 hadi 12 kwa siku inawezaUlimbo Swaraj zaidi ya dodoma na kondoa sizioni ifakara wala mbeya zina mudu kweli kazi ngumu?
Shukran sana kwa taarifa hizo huwa ni four wheel au two wheel? Kingine bei ya kukodi tractor kipindi cha msimu sh ngapi? Na kazi huwa zinapatikana za kutosha najiuliza nikimpa ndugu yangu tractor aje nalo Kigerege au ifakara ni rahisi kupata angalau eka 70 mpaka 100 kwa wiki kwa sababu tractor ni Zima sanaKiberege pale swaraj huwa zinakuja msimu wa kuandaa mashamba na zinalima vizuri tu. Sema madereva wengi(si wote) wa swaraj mawenge sana. Zinaendeshwa utafikiri gari tu. Yani shambani linakimbizwa hatari, matokeo yake udongo unarushwa mbali na wanaacha viraka vingi sana. Kumudu kazi ngumu inaweza ila inategemea na aina ya kazi pia. Kubeba magogo mazito swaraj haitomudu kwa muda mrefu ila kulima eka 10 hadi 12 kwa siku inaweza
Kiberege nina uzoefu nako. Ifakara sijawahi kufanya kazi kule. Swaraj zote zinazokuja kule ni 2wd, sijawahi kuiona ya 4wd. Kupata eka 40 hadi 50 kwa wiki inawezekana kama una dereva mzoefu wa maeneo ya kule au ukubali kufanya kazi na madalali. Bei ya juu ni elfu 45 kwa eka na bei ya chini ni 35 kwa eka(hii bei ya chini wanapenda sana watu wa swaraj kutokea kibaigwa na huwa wanakaa kijiwe cha peke yao maana wakichanganyika na wenye matrekta mengine hawapati kazi). Kama huwezi kusimamia mwenyewe hilo trekta nakuomba usilipeleke huko au usinunue kabisa hilo trekta. Narudia tena, kama huwezi kusimamia mwenyewe hilo trekta nakuomba usilipeleke huko au usinunue kabisa hilo trekta. Maana hutoiona pesa yake ila trekta utaona linachakaa tu. Kule kazi zipo nyingi tena ukiwa na trailer huwezi kukosa kazi. Ila ndo hivyo vizuri kula na wenzio, lazima upate mzoefu wa kule awe dereva wako au upate dalali. Kingine uwe mjanja, usiwe wa kukubali kila kitu. Fuatilia kila kitu wewe mwenyewe. Trekta likipata kazi ya kulima hakikisha upo hapo linapolima na wewe ndio uwe mpimaji wa ukubwa wa hilo shamba. Kila taarifa ihakiki na utunze kumbukumbu za hela zinazoingia na kutoka kupitia hilo trektaShukran sana kwa taarifa hizo huwa ni four wheel au two wheel? Kingine bei ya kukodi tractor kipindi cha msimu sh ngapi? Na kazi huwa zinapatikana za kutosha najiuliza nikimpa ndugu yangu tractor aje nalo Kigerege au ifakara ni rahisi kupata angalau eka 70 mpaka 100 kwa wiki kwa sababu tractor ni Zima sana
Du ndugu yangu una details za kutosha ki ukweli nina ndugu Tz na nilipo matrecta used sio bei mbaya sema zikifika bongo story nyingi sana , NILILETA MF 590 wakasema haina dili sana kubwa mafuta mengi haina four wheel kwa hiyo haiwezi kulima mashamba ya hela nyingi ambayo ni ya mpunga, nikaongeza New holland TD 75 4 WHEEL team nyingine inaanza kusema hamna kazi morogoro labda waende mbarali na sisi home base ni A town naomba no yako yenye whatsup tuongee kidogoKiberege nina uzoefu nako. Ifakara sijawahi kufanya kazi kule. Swaraj zote zinazokuja kule ni 2wd, sijawahi kuiona ya 4wd. Kupata eka 40 hadi 50 kwa wiki inawezekana kama una dereva mzoefu wa maeneo ya kule au ukubali kufanya kazi na madalali. Bei ya juu ni elfu 45 kwa eka na bei ya chini ni 35 kwa eka(hii bei ya chini wanapenda sana watu wa swaraj kutokea kibaigwa na huwa wanakaa kijiwe cha peke yao maana wakichanganyika na wenye matrekta mengine hawapati kazi). Kama huwezi kusimamia mwenyewe hilo trekta nakuomba usilipeleke huko au usinunue kabisa hilo trekta. Narudia tena, kama huwezi kusimamia mwenyewe hilo trekta nakuomba usilipeleke huko au usinunue kabisa hilo trekta. Maana hutoiona pesa yake ila trekta utaona linachakaa tu. Kule kazi zipo nyingi tena ukiwa na trailer huwezi kukosa kazi. Ila ndo hivyo vizuri kula na wenzio, lazima upate mzoefu wa kule awe dereva wako au upate dalali. Kingine uwe mjanja, usiwe wa kukubali kila kitu. Fuatilia kila kitu wewe mwenyewe. Trekta likipata kazi ya kulima hakikisha upo hapo linapolima na wewe ndio uwe mpimaji wa ukubwa wa hilo shamba. Kila taarifa ihakiki na utunze kumbukumbu za hela zinazoingia na kutoka kupitia hilo trekta
Mbona heka za kawaida hizo mkuu!Shukran sana kwa taarifa hizo huwa ni four wheel au two wheel? Kingine bei ya kukodi tractor kipindi cha msimu sh ngapi? Na kazi huwa zinapatikana za kutosha najiuliza nikimpa ndugu yangu tractor aje nalo Kigerege au ifakara ni rahisi kupata angalau eka 70 mpaka 100 kwa wiki kwa sababu tractor ni Zima sana