Tractor gani zuri kati ya Massey Ferguson 590 na New Holland

Tractor gani zuri kati ya Massey Ferguson 590 na New Holland

Ulimbo Swaraj zaidi ya dodoma na kondoa sizioni ifakara wala mbeya zina mudu kweli kazi ngumu?
Swaraj inauwezo mkubwa na inamudu sana kazi ngumu. Iwe ni kulima au kubebe mizigo. Ondoa hofu katika hilo.
 
ndoto2020,

..trekta za Ursus zinazokuwa assembled Kibaha wataalam wanasema ni Massey Ferguson.

..kwenye video hii hapa chini mtaalam anaeleza Hp pamoja na bei za matrekta mbalimbali.

ndoto2020,

..trekta za Ursus zinazokuwa assembled Kibaha wataalam wanasema ni Massey Ferguson.

..kwenye video hii hapa chini mtaalam anaeleza Hp pamoja na bei za matrekta mbalimbali.

Sawa kabisa ndugu japo ursus jina jipya BONGO sijui kama spea zipo zipo mtaani?
 
Sawa kabisa ndugu japo ursus jina jipya BONGO sijui kama spea zipo zipo mtaani?

..unaweza kuuliza kama trekta za Ursus zina warranty.

..pia wanaounda trekta za Ursus hapa Tz lazima watakuwa wanauza na spea.
 
Shukran sana kwa taarifa hizo huwa ni four wheel au two wheel? Kingine bei ya kukodi tractor kipindi cha msimu sh ngapi? Na kazi huwa zinapatikana za kutosha najiuliza nikimpa ndugu yangu tractor aje nalo Kigerege au ifakara ni rahisi kupata angalau eka 70 mpaka 100 kwa wiki kwa sababu tractor ni Zima sana
Heka hizo mbona chache tuu mkuu!
 
Back
Top Bottom