Swaraj inauwezo mkubwa na inamudu sana kazi ngumu. Iwe ni kulima au kubebe mizigo. Ondoa hofu katika hilo.Ulimbo Swaraj zaidi ya dodoma na kondoa sizioni ifakara wala mbeya zina mudu kweli kazi ngumu?
Sawa kabisa ndugu japo ursus jina jipya BONGO sijui kama spea zipo zipo mtaani?
Heka hizo mbona chache tuu mkuu!Shukran sana kwa taarifa hizo huwa ni four wheel au two wheel? Kingine bei ya kukodi tractor kipindi cha msimu sh ngapi? Na kazi huwa zinapatikana za kutosha najiuliza nikimpa ndugu yangu tractor aje nalo Kigerege au ifakara ni rahisi kupata angalau eka 70 mpaka 100 kwa wiki kwa sababu tractor ni Zima sana