Hahaha n brand MzeeJohn Dierre nililijua miaka ya 90s baada ya kugonga mtu usiku likapelekwa polisi na ndiyo nikasoma hiyo chata na nikajua mmiliki ndiyo jina lake hilo hahaaa kumbe ni Brand.
Ipo na jembe pekeeHiyo bei ni pamoja na trailer? Tonne ngp?
Hizi trector za John Deere ni nzuri ila km huna hela usiguse spear zimesimama sana kupitia maelwzo na upatikanaji wake ni mgumuNauza tractor John Deere Lina jembe full bei 41 million View attachment 2631286View attachment 2631287
Tractor za US, hawana dealer bongo na watu wengi hawauzi bidhaa kutoka US moja kwa moja, lakini still unaweza kupata spare kupitia online au kama una jamaa yeyote unamjua US anaweza kukunulia moja kwa kwa moja akakutumia, dunia imekuwa kijiji unaweza kununua popote na chochote, hata humu JF kuna watu wengi sana wanaishi US wanaweza kukusaidia kupata spare za hiyo tractorHizi trector za John Deere ni nzuri ila km huna hela usiguse spear zimesimama sana kupitia maelwzo na upatikanaji wake ni mgumu
Hapana hazitengenezwi south Africa ,south Africa wanaasamble tuKm kitu hujui ni vizuri kukaa kimya, Mimi natumia John Deere Kwa mda mrefu, Tanzania wanae dealer ambae ni Tata Tanzania, wanauza machines zote na spares zake. Hizi tractors zinatengenezwa South Africa sio Marekani Km ulivoandika.
Km kitu hujui ni vizuri kukaa kimya, Mimi natumia John Deere Kwa mda mrefu, Tanzania wanae dealer ambae ni Tata Tanzania, wanauza machines zote na spares zake. Hizi tractors zinatengenezwa South Africa sio Marekani Km ulivoandika.