INAUZWA Tractor John Deere

INAUZWA Tractor John Deere

kachu

Member
Joined
Sep 8, 2013
Posts
27
Reaction score
25
Nauza tractor John Deere Lina jembe full bei 41 million
IMG-20230518-WA0008.jpg
IMG-20230518-WA0006.jpg
 
John Dierre nililijua miaka ya 90s baada ya kugonga mtu usiku likapelekwa polisi na ndiyo nikasoma hiyo chata na nikajua mmiliki ndiyo jina lake hilo hahaaa kumbe ni Brand.
 
Hizi trector za John Deere ni nzuri ila km huna hela usiguse spear zimesimama sana kupitia maelwzo na upatikanaji wake ni mgumu
Tractor za US, hawana dealer bongo na watu wengi hawauzi bidhaa kutoka US moja kwa moja, lakini still unaweza kupata spare kupitia online au kama una jamaa yeyote unamjua US anaweza kukunulia moja kwa kwa moja akakutumia, dunia imekuwa kijiji unaweza kununua popote na chochote, hata humu JF kuna watu wengi sana wanaishi US wanaweza kukusaidia kupata spare za hiyo tractor
 
Km kitu hujui ni vizuri kukaa kimya, Mimi natumia John Deere Kwa mda mrefu, Tanzania wanae dealer ambae ni Tata Tanzania, wanauza machines zote na spares zake. Hizi tractors zinatengenezwa South Africa sio Marekani Km ulivoandika.
 
Hapana hazitengenezwi south Africa ,south Africa wanaasamble tu
 
Km kitu hujui ni vizuri kukaa kimya, Mimi natumia John Deere Kwa mda mrefu, Tanzania wanae dealer ambae ni Tata Tanzania, wanauza machines zote na spares zake. Hizi tractors zinatengenezwa South Africa sio Marekani Km ulivoandika.

Upo sahihi
Ukiingia getini yamepangwa kushoto kwako pembeni ya ukuta.
 
Back
Top Bottom