TRACTOR LA KILIMO za SUMA JKT

MalafyaleP

Senior Member
Joined
May 23, 2013
Posts
187
Reaction score
387
Wana JF,
naomba utaalam na uzoefu.
Kuna bwana mmoja anataka kuniuzia New Holland Tactor lenye 75hp na ni 4wheel. Alipewa zawadi na shirika alikokuwa anafanya kazi June 2012 na hajawahi kulitumia kabisa.Linakuja na disc plough na harrow.
Hili tractor lilinunuliwa SUMA JKT.

Tafadhali naombeni uzoefu wenu na aina hii ya tractors maana kuna uvumi tractor za SUMA zimechakachuliwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…