Tractor MF 135 for sale

Tractor MF 135 for sale

simplemind

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2009
Posts
16,418
Reaction score
9,209
Tractor aina ya MF 135 pamoja na jembe inauzwa Tsh 9.6 m.Reconditioned UK ,halijutumiwa hapa. Lipo hali nzuri sana (see attachments).Tractor lipo zanzibar.

i358_DSCF0002.JPG

i359_DSCF0005.JPG

i360_DSCF0006.JPG

For more info.contact Said 0713692774 E-mail gobongo@live.co.uk
 
Habari njema kwa sisi wakulima........tractor limelipiwa kodi zinazotakiwa kulipwa? na je, cost ya kuleta bara.....if I would imekaaje?
 
Habari njema kwa sisi wakulima........tractor limelipiwa kodi zinazotakiwa kulipwa? na je, cost ya kuleta bara.....if I would imekaaje?

Kodi zote zimelipwa.Mkunazini shipping company can provide shipping cost on request.Additional cost port handling charge.
 
Hii trector ni ya mwaka gani ,hp yake ni ngapi ?
 
Back
Top Bottom