Car4Sale Tractor mpya namba D inauzwa

Car4Sale Tractor mpya namba D inauzwa

mpinyo

Senior Member
Joined
Aug 5, 2014
Posts
185
Reaction score
111
Inapatikana DSM
Bei sh 35 milioni mazungumzo yapo
trailer lake 7mil for any serious buyer nichek 0652 646722
IMG-20180727-WA0004.jpg

IMG-20180727-WA0003.jpg
IMG-20180727-WA0003.jpg
IMG-20180727-WA0001.jpg
 
Tractor mpya MASSEY FERGUSON made in ITALY
Horse power 55 inauzwa mil 35
Trailer yake ipo 7 milion
ipo DSM for any serious buyer check through 0652 646722
IMG-20180727-WA0001.jpg
IMG-20180727-WA0003.jpg
IMG-20180727-WA0002.jpg
IMG-20180727-WA0004.jpg
 
Mkombozi Huyo lkn ukimsimamia vizuri!
Machine imetulia I hope utapata mteja....kila la kheri

Ova
 
Mkombozi Huyo lkn ukimsimamia vizuri!
Machine imetulia I hope utapata mteja....kila la kheri

Ova
Atakayeipata hii atakuwa kalamba dume haswa, lets wait for serious buyer
 
duhh wenyehela hawajaona hiyo mali? jamani hela haziwatembelei wenye fursa zaona, chuma hicho ukipeleka shamba ni kambi tuuu ukirudi u mtamu ka sukari ya TPC
 
chma hichooo. mkuu mi natafuta lift arm,top link, tair za kati naweza pata wapi mkuuu? msaada wako mkuuuu
 
Hii bei yako mkuu watu wanachukua hp 90 na change inabaki nyingi tu
 
Back
Top Bottom