Mario Kejob
JF-Expert Member
- Apr 14, 2020
- 441
- 536
Wakati umefika sasa Simba na Azam wafanye makubaliano ili Simba wamchukue Dube na Azam wawachukue Kagere, Mugalu na Ajibu katika deal hilo. Kwangu nitaona ni sawa tu. Wewe je?
Nawasilisha.
Nawasilisha.