Trade Off: Simba Na Azam

Trade Off: Simba Na Azam

Ki ukweli Simba inahitaji strikers wa uhakika, Mugalu, Kagere na Bocco wote wamezeeka na uwezo ni mdogo, Bocco abaki kwa kuwa ni mzawa na mzoefu kwa ajili ya kuongoza ila Mugalu na Kagere wakapumzike sehemu nyingine, tupatiwe striker ambayo ataongeza thamani timu sio Mzigo kwa timu.
 
Prince Dume Mpumalanga ndo striker sahihi wa kucheza Simba.
Striker mwenye uwezo wake.
 
Dube kama Dube ila kwa mpira wa bongo wale wauza lamba lamba hawatakubali hata wapewe bilioni kisa mchezaji anaenda kwa mabingwa wa nchi
 
Wape chikwende na kagere chukua dube na hela kadhaaaa wape
 
Back
Top Bottom