Ki ukweli Simba inahitaji strikers wa uhakika, Mugalu, Kagere na Bocco wote wamezeeka na uwezo ni mdogo, Bocco abaki kwa kuwa ni mzawa na mzoefu kwa ajili ya kuongoza ila Mugalu na Kagere wakapumzike sehemu nyingine, tupatiwe striker ambayo ataongeza thamani timu sio Mzigo kwa timu.