Muda Kwangu mimi unaanza muda then ndo ije price kama sijui muda then I can do nothing in the market pia nafanya kazi zangu zote then saa 16:30 EAT ndo nakuwa mzigoni nikichelewa kuna saa 17:00EAT nikichelewa kuna saa 21:00EAT kwa maana nyingine haiingiliani na kazi zangu za kila siku.
Inanipa urahisi wakufuatilia news zake kwasababu na deal na news za USD tu.
Ni fast kwamaana inatoa pips nyingi ndani ya muda mfupi.
Kwanini nasdaq peke yake? Well that comes with experience.
Na kwa Sababu ya USD quote au DOLLAR INDEX basi ni rahisi kufahamu Intensity ya News release kwa namna inavyoweza ku affect pair. Hii inasaidia ku take advantage kwa kufuata uelekeo wa Data.
Pia Spread ya EU siyo kubwa even wakati wa usiku unaweza ku hold trade yako bila kuhofia Swap au stopout.