Nasdaq
Member
- Sep 22, 2024
- 17
- 45
Mimi na trade Nasdaq kwasbabu hizi;-
- Muda Kwangu mimi unaanza muda then ndo ije price kama sijui muda then I can do nothing in the market pia nafanya kazi zangu zote then saa 16:30 EAT ndo nakuwa mzigoni nikichelewa kuna saa 17:00EAT nikichelewa kuna saa 21:00EAT kwa maana nyingine haiingiliani na kazi zangu za kila siku.
- Inanipa urahisi wakufuatilia news zake kwasababu na deal na news za USD tu.
- Ni fast kwamaana inatoa pips nyingi ndani ya muda mfupi.
- Kwanini nasdaq peke yake? Well that comes with experience.