mundo
JF-Expert Member
- Aug 9, 2010
- 200
- 9
Habari wana jamvi,
katika kusearch online business opportunity kama ilivyokuwa ktk global stocks market, future...etc nikafikiria vp kuna mtu yoyote anaweza akanipa inputs za online foreign exchange business maarufu kama Forex Trading? any ideas or suggestion?