Traffic huyu kiboko 2017

Traffic huyu kiboko 2017

kidaganda

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2013
Posts
2,995
Reaction score
2,572
Ofisa mmoja wa trafiki alikuwa akikagua assignment za wanawe wawili. Aliangalia daftari la mkubwa na baada ya muda akaanza kumfokea kwa kufanya makosa ya kipuuzi.
Baadae akachukua daftari la mdogo na kulifungua, bila kusema neno, akalirudisha na kuondoka.
Yule mtoto mkubwa akamuuliza mdogo wake; "Ndo tuseme una akili kiasi hicho? Kwanini baba hajakufokea?!"
Yule mdogo akasema: "Niliweka noti ya elfu kumi kwenye daftari langu! Wewe umesahau kwamba baba ni trafiki!"
 
Back
Top Bottom