Zinatafutwa pesa kuna mfumuko wa bei hadi za kubrashia viatu juuHabari,
Juzi kuna mdau kasimamishwa na Traffic police anataka amwandikie fine kisa ubovu wa gari yaani bumper la mbele limeharibika,
Tulikua tunawaza, huu ujasiri wanautoa wapi? Bumper la gari limeharibika kutokana na ubovu wa barabara, kwa nini fine wasitozwe wajenzi wa barabara kwani wao ndo chanzo kikuu cha msingi cha ubovu wa gari( bumper)?
Ni mawazo tu, wadau mnaonaje?
Uzi tayari.
Niliisha wahi kumuachia leseni Trafiki eneo la Visiga(jina namhifadhi) kisa packing light nyuma, kushoto haiwaki Saa saba mchana na uzuri leseni ndiyo ilikuwa inaisha muda wake ( niliisha renew na ile sijaifuatilia hadi leo!)Tuombe mwongozo "ubovu wa gari" ni kosa lipi hasa?
Traffic hili kosa wanalitumia visivyo.
Hilo nimelitatua kwa kutembea na bulb ya akiba,ikitokea tu haiwaki na wamenifumania,nawaonyesha bulb kuwa naenda kuifixNiliisha wahi kumuachia leseni Trafiki eneo la Visiga(jina namhifadhi) kisa packing light nyuma, kushoto haiwaki Saa saba mchana na uzuri leseni ndiyo ilikuwa inaisha muda wake ( niliisha renew na ile sijaifuatilia hadi leo!)
Ndiyo maana yake!daa ulimaliza kiume,kwo leo kaweka kwenye wallet yake akijinadi kuwa naye ana leseni!!
Kwahiyo kwa kosa la balbu kutokuwaka ndiyo uandikiwe gari bovu?Hilo nimelitatua kwa kutembea na bulb ya akiba,ikitokea tu haiwaki na wamenifumania,nawaonyesha bulb kuwa naenda kuifix