Traffic Police.

Sasa shemeji yake ndio mwanawe? halafu ni shemeji yake kwa nani? Na Kikwete ni mtoto wa mkubwa yupi?

Hoja iliopo hapa ni ya kuhusu traffic.mwema na jk siyo traffic uliwaingiza kimakosa kwenye maelezo yako ya awali.kuhusu swala la watoto wa wa kubwa wanaweza wakawa wakuwazaa wakubwa wenyewe,wajomba,shemeji na wale ambao wako jirani na wakubwa hao kwa namna moja au nyingine wote wanajumlishwa kwenye kundi la watoto wa wakubwa.
 
Nimemuingiz Mwema kwa kuwa ndio mkubwa wa matrafik wote, Kikwete aliyemwingiza tazama juu huko, mimi niliuliza tu.

Ikiwa Mwema ambae ni Mkubwa wa Trafiki na Polisi wengine wote unashindwa kutuonesha mkubwa aliyemweka ina maana ni jitihada zake binafsi na hata hao wengine bila kutuonesha huyu ni mtoto wa fulani ndio maana kawekwa hapo, inakuwa ni unafiki tu.
 
Chunguza vizuri ulipouliza saidi nimekujibu kuwa ni shemeji yake na jk.ili upate jibu kuwa huyu ni mtoto wa nani na yule ni mtoto wa nani ninaomba unipe orodha ya traffic wote unao wafahamu utajibiwa.halafu kwa nini hiki kitu kimekugusa sana.km ni mmojawapo ulie teuliwa na wazazi wako au ulipata kwa rushwa usihofu kitu endelea kukwapua tu umepewa hicho kitengo kwa ajili hilo. ukizingatia kuwa kamela zote za jelly mulo na yeye mwenyewe kwisha kabisa hakuna wakukutisha chuma kijana wakati ndio huu chukuwa chako mapema.ila usinidanganye asilimia kubwa ya traffic wameupata kwa njia nilio isema na si kwa juhudi zao.kwa heri.
 
Wacha kudanganya umma. Taja hapa fulani ni traffic wa sehemu fullani na kapata kazi kwa ajili ya fulani: Ngoja nikuoneshe watu wanavyopata kazi sehemu nyeti ili uelewe:

Kama hujaelewa pitia hapa uone ilivyo: Viwanjani (nini kimejiri leo Maximo?): UKOO WA CHADEMA BUNGENI WAANIKWA: GAZETI LA UHURU
 
Tupe na hali halisi ya barabara.

Mwema sijui anapitia humu? nimejaribu kumtumia post yako #1 kupitia: Feedback lakini inakataa.

Na wewe unaweza mtumia. Naomba hali ya barabara, nna safari ya kwenda Shinyanga, kupitia Arusha na Singida.

lakini madereva wa mabasi ya Arusha na Mwanza huwa wanakimbia sana bila kusimamishwa roho za abiria zinakuwa tete sana
 
Kungekuwa na tofauti gani kama Mboni Mhita angepata Ubunge wa kuteuliwa wakati mama yake Zubein Mhita ni mbunge?

Haswaa ndiyo hivyo tunavyotaka ukileta hoja ya matrafik, unasema trafik huyu babake huyu. Si umeona mfano niliouonesha juu hapo wa Ndesamburo.

Sasa mwambie mleta mada afanye hivyo na asikurupuke.

Sasa
 
una uhakika?
 
mwema ni shemeji wa jk.nilicho kiandika kuhusu traffiki ni hakika na amina.vinginevyo unapinga labda na wewe ni mmoja wao.halafu saidi siyo traffic pole wewe ambae unapinga kitu wakati kipo.

acha majungu ushemeji wa mwema na jk unahusika vp na trafik
 
Bora hata torch kuliko kuombwa buku kila kilometer 10 na hata hawakagui gari. Hawana aibu tena jamani.

Trafick ni majambazi/wanyang'anyi wakubwa.Wanatoka kwao asubuhi kuja barabarani kwa makusudi ya kunyang'anya watu /wapita njia pesa!loh
 
pole ndugu kuwa makini na kipande cha Siginda - Nzega kuna torch zinazojificha kwenye miti wanakamua mpaka bajeti ya mafuta hawana huruma hao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…