Tukundane
JF-Expert Member
- Apr 17, 2012
- 11,993
- 9,212
Sasa shemeji yake ndio mwanawe? halafu ni shemeji yake kwa nani? Na Kikwete ni mtoto wa mkubwa yupi?
Hoja iliopo hapa ni ya kuhusu traffic.mwema na jk siyo traffic uliwaingiza kimakosa kwenye maelezo yako ya awali.kuhusu swala la watoto wa wa kubwa wanaweza wakawa wakuwazaa wakubwa wenyewe,wajomba,shemeji na wale ambao wako jirani na wakubwa hao kwa namna moja au nyingine wote wanajumlishwa kwenye kundi la watoto wa wakubwa.