WAzo zuri,ila na utuambie nawe ni miongoni mwa vijana mliokaa hapo mkinjunja Gambe tangu hiyo saa8?Polen najua nawachukulia mda WENU kufurahia MWAKA mpya
Kumekuwa na ajali za ajabu sana MWAKA mpya ambapo
Kama kungekuwa na upimaji wa vilevi huko njian walipotokea
Tungeeweza kuthibiti vifoo kadhaaa
TUNAOMBA leoo tukeshe wote kulinda uhai wetu
Dec imekula sana JAMAN kupitilixa
Mpaka tukasema why disi??
Af akianguka nalo samahani zina kuwa nyingiAisee wakoo wengi sana mkuuu YAAN Leo asilimia 35 ya magari bar sio yaoo
😂Af akianguka nalo samahani zina kuwa nyingi
Subiri ushuhuda