Trafic huyu jamani

Hivi haijabomolewa bado? si kipindi kile walisema itabomolewa kwa kuwa imejenga juu ya bomba la mafuta.
Any way mie napenda sana kucheza dansi pale Nyumbani (Samaki Samaki)
Haijabomolewa juzi nilikuwa hapo sjui pombee ilikuwa kumkwich badala nishuke ground na lift nikaishia gorofa ya pili nikaanza kushangaaa vepeee tena huku nimetokea wapi nageuza macho niangalie lift nashangaa ipo gorofa ya 3 ikabid nishuke mdogo mdogo huku nayumba kama gar ya dangote imezidiwa mzigo
 
Mtoa mada we wachukie hao ma traffic na polisi wale wengine JWTZ wasamehe wale wana afadhali
 
hahahahha au vile vitaa vyao vya rangi rangi viliku miksi hahahahahahaha
 
Duu huu ushauri wa nguvu za giza
 
MBITIYAZA naomba tutafutane niko Morogoro kwa kipindi Fulani kifupi ila chenye tija ni-PM tuonane nimefikia Arc Hotel
 
MBITIYAZA naomba tutafutane niko Morogoro kwa kipindi Fulani kifupi ila chenye tija ni-PM tuonane nimefikia Arc Hotel
haahaaa am sorry rafiki!huo mzuka sina!tubak anonimazi
duh hivi kibuti ndio kinakuwaga hivi hiii hi hi nalia kwa uchungu sana
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…