Trafic huyu jamani

Trafic huyu jamani

😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
unanicheka mwenzio nimepewa za uso
 
Achana na matrafic hawa hawakamatiki linapokuja suala la totoz. We kesho njoo el Shaddai Duka la mapazia lipo hapo round about ya masika uchague mapambo.
 
hahahahahaah, nimecheka maana umekuja kasi hadi hoteli ulipofikia. hahahah Mbiti ni mke wa mtu mwenye ndoa yake takatifu na hana historia ya kuchepuka, hapa ni jukwaa la chitichati hahahahaah. Pole funzadume
sasa mbona anataka kumpa kitumbua trafiki? si bora anigee mie mjasiriamali wa kati kila mwezi naenda Guanzhou
 
ndalilo ni kihehe!maana yake ndo ntolee
 
Back
Top Bottom