Trafic huyu jamani

Ndio umekuja kunifungulia uzi huku Lol, you are beautiful 🙂
 
Ndio mimi mbitiyaza naomba namba zako sasa,na mimi naugulia wamenihmisha nimegoma ili tu nikuone.
 
For what u write wewe ndiye unayewashwa naye, yeye anafanya kazi yake!
 
Ushanipa mzuka wa kuendelea nilipoachia manake kwa mbaaaaaali naona kama kuna utamu utamu hivi!

Uliniambia unaitwa Mbiti enh?

hahhahaha sijawah ulizwa jina na yy!lols
 
hahhahaha sijawah ulizwa jina na yy!lols
Nikuulize wakati ulishanipa leseni! Hebu niambie, utapita lini tena? Lakini usipite na watoto bhana... hawa watoto wa Kidijitali hawakawii "Dad, na leo uncle chige alimkamata mamy akaenda nae hotelini kulipia faini sisi akatununulia chips snack tukasubiri kwenye gari!"
 
hahahahah usemayo yana akisi ukweli!niliwah mhug mshikaj mmoja town walilifikisha km lilivyo!hatarious
 
hahahahah usemayo yana akisi ukweli!niliwah mhug mshikaj mmoja town walilifikisha km lilivyo!hatarious
Ila tuache masihara; mwaka nikiingiwa na pepo la kutamani kuchepuka na mke wa mtu nahisi hilo pepo litaisaka damu yako kwa udi na uvumba!!
 
Ila tuache masihara; mwaka nikiingiwa na pepo la kutamani kuchepuka na mke wa mtu nahisi hilo pepo litaisaka damu yako kwa udi na uvumba!!

pepo mchafu pishana nnaye round about
 
Yaani Kukuchekea siku mbili tu tayari umekuja kunifungulia uzi.mpenzi mbona uko hivyo lakini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…