karibu sana ...isiwe usiku jamani....
This time napita mchana,sio kama siku ile natoka mwanza,Mvua ilizingua kuanzia pale Kibaigwa,ndo maana nikachelewa kufika moro mapema,this time mapema tu,nipo moro.....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
karibu sana ...isiwe usiku jamani....
Ndio umekuja kunifungulia uzi huku Lol, you are beautiful 🙂Huyu trafik alinisimamisha siku moja wknd jpili nilikua naenda msamvu,nilihofu kiasi kwasababu sikua na lesen niliisahau home
akakagua vya kukagua na vimaswal vya hapa napale,triangle,bima,etc
nilikua na wanangu wakamchangamkia akatuachilia...
Basi imekuwa kawaida yake akiniona tu atafanya vimizengwe mradi nipunguze speed,
juzi nilimkuta kituo cha kanisani bas aliponiona akasogea barabarani nikampa hi ,na katabasam kakulazimisha (kwasabab siwapendi trafiki,police,wajeshi kwa ubabe wao huwa natamani kuwa mbabe zaid yao) ,.. basi imekuwa NDALILO ,jana ndo kajifanya kuvuka barabara mbele ya gari nayoendesha jicho lote kwangu akatoa kaulimi kidogo!oooohhh
nachojiuliza ananijuaje ni mbiti? kama kakariri plate # basi na mimi nikariri namba zake za begani!lols
natamani asihamishwe barabara lol niwe namuona tu
[HASHTAG]#akilizapasaka[/HASHTAG]
cc NAHUJA
Huyu trafik alinisimamisha siku moja wknd jpili nilikua naenda msamvu,nilihofu kiasi kwasababu sikua na lesen niliisahau home
akakagua vya kukagua na vimaswal vya hapa napale,triangle,bima,etc
nilikua na wanangu wakamchangamkia akatuachilia...
Basi imekuwa kawaida yake akiniona tu atafanya vimizengwe mradi nipunguze speed,
juzi nilimkuta kituo cha kanisani bas aliponiona akasogea barabarani nikampa hi ,na katabasam kakulazimisha (kwasabab siwapendi trafiki,police,wajeshi kwa ubabe wao huwa natamani kuwa mbabe zaid yao) ,.. basi imekuwa NDALILO ,jana ndo kajifanya kuvuka barabara mbele ya gari nayoendesha jicho lote kwangu akatoa kaulimi kidogo!oooohhh
nachojiuliza ananijuaje ni mbiti? kama kakariri plate # basi na mimi nikariri namba zake za begani!lols
natamani asihamishwe barabara lol niwe namuona tu
[HASHTAG]#akilizapasaka[/HASHTAG]
cc NAHUJA
natamani asihamishwe barabara lol niwe namuona tu
Nikuulize wakati ulishanipa leseni! Hebu niambie, utapita lini tena? Lakini usipite na watoto bhana... hawa watoto wa Kidijitali hawakawii "Dad, na leo uncle chige alimkamata mamy akaenda nae hotelini kulipia faini sisi akatununulia chips snack tukasubiri kwenye gari!"hahhahaha sijawah ulizwa jina na yy!lols
Nikuulize wakati ulishanipa leseni! Hebu niambie, utapita lini tena? Lakini usipite na watoto bhana... hawa watoto wa Kidijitali hawakawii "Dad, na leo uncle chige alimkamata mamy akaenda nae hotelini kulipia faini sisi akatununulia chips snack tukasubiri kwenye gari!"
Ila tuache masihara; mwaka nikiingiwa na pepo la kutamani kuchepuka na mke wa mtu nahisi hilo pepo litaisaka damu yako kwa udi na uvumba!!hahahahah usemayo yana akisi ukweli!niliwah mhug mshikaj mmoja town walilifikisha km lilivyo!hatarious
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] uko sawa kabisauna ubarid wewe sio bure