Trafic huyu jamani

Trafic huyu jamani

Huyu trafik alinisimamisha siku moja wknd jpili nilikua naenda msamvu,nilihofu kiasi kwasababu sikua na lesen niliisahau home
akakagua vya kukagua na vimaswal vya hapa napale,triangle,bima,etc
nilikua na wanangu wakamchangamkia akatuachilia...

Basi imekuwa kawaida yake akiniona tu atafanya vimizengwe mradi nipunguze speed,
juzi nilimkuta kituo cha kanisani bas aliponiona akasogea barabarani nikampa hi ,na katabasam kakulazimisha (kwasabab siwapendi trafiki,police,wajeshi kwa ubabe wao huwa natamani kuwa mbabe zaid yao) ,.. basi imekuwa NDALILO ,jana ndo kajifanya kuvuka barabara mbele ya gari nayoendesha jicho lote kwangu akatoa kaulimi kidogo!oooohhh
nachojiuliza ananijuaje ni mbiti? kama kakariri plate # basi na mimi nikariri namba zake za begani!lols

natamani asihamishwe barabara lol niwe namuona tu
[HASHTAG]#akilizapasaka[/HASHTAG]

cc NAHUJA
Hahaha MBITIYAZA !! Ameshakujua wewe ni FISI NYEKUNDU!
 
haaahaaaaaaaaaaa naona umeamua kunisimangia mume wangu!mweupeeeee pye
hahahahah, onja ladha ya "trafic" mweusi. hahahahahah. Unaonekana shoga uliolewa ukiwa "sealed" na hujaona tena nyingine, hebu onja ya askari wa kikosi cha usalama barabarani (mweusi) ulinganishe na ya Mr, wako hahahaha.

Akili za kuambiwa changanya naza kwako (JK)
 
mhhh hapo kuna namna sio bure...,hako kaulimi kasije kikalamba visivyolambika...ila kama ukitaka ujue hawatoag viulimi pita round about ya stend ya hiace hapa alafu kuwe na jam utaona miujiza..kuna trafk anasura ngumu akikuangalia hata gar laweza zima..ehehee
 
mhhh hapo kuna namna sio bure...,hako kaulimi kasije kikalamba visivyolambika...ila kama ukitaka ujue hawatoag viulimi pita round about ya stend ya hiace hapa alafu kuwe na jam utaona miujiza..kuna trafk anasura ngumu akikuangalia hata gar laweza zima..ehehee
haahaaaaaaaa nimechekaaaaaaa!kuna mama mtu mzima yupo mkomola hua namgwayaaa
 
Back
Top Bottom