Trafic na wanae!

Trafic na wanae!

Red Scorpion

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2012
Posts
5,736
Reaction score
4,252
*Trafic Mmoja Alikua Akikagua Madaftari ya Watoto wake Wawili..*

*[emoji117]Daftari la Mwanawe Mkubwa hakulipenda,*
*"Kwa hasira Akamfokea sana,"*
*Wee kwanini hufanyi vizuri Shuleni?*
*Huna Akili wee*

*[emoji117]Akachukua Daftari la Mdogo*
*"Vile Kulitazama tu,*
*"Akamrudishia Daftari lake kisha Trafic huyoo Akaondoka zake bila Kusema lolote.*

*[emoji117]Yule Mtoto Mkubwa Akamuuliza Mdogo wake..!!*
*"Khhh...!! Sasa mbona wewe hajakufokea?*
*Ina mana wewe una Akili sana?*

*[emoji117]Dogo Akajibu,*
*"Bro Usipanick..*
*Kwani hujui Baba ni Trafic..!!*
*"Nimemuwekea Sh's.10,000/= kwenye Daftari.*

[emoji115][emoji767]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahaha
Daaah iyo mambo naona ipo damuni

Psalm 133:1[emoji768] "Behold, how good and how pleasant it is for brethren to dwell together in unity."
 
*Trafic Mmoja Alikua Akikagua Madaftari ya Watoto wake Wawili..*

*[emoji117]Daftari la Mwanawe Mkubwa hakulipenda,*
*"Kwa hasira Akamfokea sana,"*
*Wee kwanini hufanyi vizuri Shuleni?*
*Huna Akili wee*

*[emoji117]Akachukua Daftari la Mdogo*
*"Vile Kulitazama tu,*
*"Akamrudishia Daftari lake kisha Trafic huyoo Akaondoka zake bila Kusema lolote.*

*[emoji117]Yule Mtoto Mkubwa Akamuuliza Mdogo wake..!!*
*"Khhh...!! Sasa mbona wewe hajakufokea?*
*Ina mana wewe una Akili sana?*

*[emoji117]Dogo Akajibu,*
*"Bro Usipanick..*
*Kwani hujui Baba ni Trafic..!!*
*"Nimemuwekea Sh's.10,000/= kwenye Daftari.*

[emoji115][emoji767]

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji12] [emoji12]
 
Back
Top Bottom