Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Taifa limetangazwa kutafunwa halafu unasema move on?Unajua athari za ufisadi katika individual level?Unaelewa hili tukio lingekuwa limetokea katika nchi zilizostaaribika sasa hivi Samia asingekuwa Rais?Move on.
Jasho la mtu haiwezi kujengea,ukijenga itaungua,isipoungua trafiki mwenyewe anakula stroku.70,000x 30 mwezi?[emoji848][emoji848][emoji848].
Ukiwa trafiki alafu haujajenga wewe ni hasara
Unamlipa rushwa trafik halafu unaenda kuidai serikali uboreshwaj wa miundombinu, hivi unahisi huo si ubakaji?Kama Mimi konda natoa Buku 2 sisumbuliwi mpaka jioni? Shida yangu nini? Kapata 70,000 Kwa siku? Wala hainiumizi, nenda Kwenye kesi ya Mbowe ujue hela kiasi gani zinachezewa, wacha wale!
Unamlipa rushwa trafik hlf unaenda kuidai serikali uboreshwaj wa miundombinu , hv unahisi huo si ubakaji ?