Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 15,835
- 23,776
Korona ilipoingia Rais Magufuli alichukua hatua zote stahiki kuzuia.
Katika hali ya kushangaza, Rais huyu asiyelala kwa ajili ya Taifa lake Kitengo cha Usalama BARABARANI kimelala usingizi wa pono.
Rais aliagiza magari na usafiri wa umma watu wasisimame, wakae level seat, baadhi ya daladala wakawa wajanja wakaenda kurudishia zile siti za katikati ambazo waliondoa ili watu wasimame.
Baadhi ya daladala, tena nyingi ZIMEWEKA MAKOPO YA RANGI, MAWE na wengine viroba vya uchafu na ndoo ili watu wakae, wanaokaa katikati ni wengi kuliko kwenye siti na hapa inaondoa ile dhamira njema ya raisi kuwa watu wachache kuondoa KORONA.
Mheshimiwa Rais, TRAFIKI wanajua hili ila wanatumika kukuhujumu kitu ambacho tunakupa taarifa tru, wabaya wako wapo na wewe.
Sisi wananchi wa kawaida tunajua dhamira yako njema ila hatuna la kufanya kwakuwa hawa watu wanakula na mapolisi.
Mh Raisi Magufuli, kuna Daladala/Kosta ya Makumbusho Posta kupitia Sinza imeweka makopo, na hiyo gari ndani imeoza kabisa ila kwakuwa mmiliki wake ni askari usalama na yupo Kituo cha kati jini hakuna wa kulikamata, Naomba mheshimiwa Rais fanya yafuatayo.
Ziara ya kushtukiza kwa kamanda ama IGP na kukamata simu za hawa wanao kuhujumu ili ujue wanao shirikiana nao.
Makonda56 paul charz md paul makoye