Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
lakini kweli, Lugola mauno yake ndio yamemponza, hawezi kukata namna ile wakati walio juu yake hawafanyi hivyo, hakiya nani yale mauno hata uwe mwanamke gani lazma umepnde LugolaLugola alijitahidi kuwanyoosha sana na ndie alietafsiri Sheria ya ubovu wa gari ni kosa moja na kuondoa zile fine za kutupiana wanaziita jini sema ndio hivyo tena upande mwingine alikua anachimba kiaina tena...sema angewanyoosha na alipotimuliwa walifanya sherehe...
upuuzi!!-Nilisha ripoti kote huko na hawataki kwakuwa haiwahusu.
Mbona akinamama wanaodhulumiwa ardhi rasi huwa anawasaidia?
Hao RC na DC kila mmoja anatafuta jimbo la kugombea, hakuna anaye jishughulisha na maisha ya wanyonge.
Hawajui rais anavyohangaika na watanzania ila hawa watenddaji ndio wnamuangusha.
Yeye avunje na kupangua kikosi cchote cha uslama barabarani hapa Dar
wewe ni kati ya ma-askari mnaopokea hizo karatasi zinazofanana na elfu mbili , siku zenu zinahesabika.upuuzi!!-
Mandiba acheni kuchukua fedha isiyo halali yenu, jifunze kwa Nkurunziza, utaiba, utakula rushwa, utapostaafu na kusema sasa ninakula kazi ya mikono yangi Mungu anakuchukua, mkeo, watoto na wakwe, haya , !jifunzewewe ni kati ya ma-askari mnaopokea hizo karatasi zinazofanana na elfu mbili , siku zenu zinahesabika.
Huyo Rais yupo humu? Utaskia ana wasaidizi wake utafikiri Hugo makonda sio msaidizi wakesikujua kama yupo huku maana huwa anakuwa na mambo mengi hasa ya kutetea wanawake na walimu