Pdidy
Platinum Member
- Nov 22, 2007
- 62,101
- 38,487
Inasikitisha sana sana anyway
Mnamu saa tano asbh tar 18 feb
Traffic mmoja mwembamba akishirikiana na wenzie watatu wakiwa mbele ya kituo cha polisi kawe walianza kukamata pikpik.. toyo... na bajaji
Hatujakataa kukamata njia walizotumia ni hatarishi mh rto hata rc wetu aliepita alipiga marufuku hii
Kilichotokea huyu traffic alisimama opp na geti la kuingilia akasimama katikati ya lami akiona pikpik anazipeleka getini akiona bajaji anawatupia wale askari kanzu wanazipeleka mle ndaniiiiiii
Sasaaaaaa wakasimamisha mzee mmoja na mama mtu mzima kabisa katikati tena kama wanaelekea hospital maana walipowapita tu waelekea kawe hospital
Huyu pikpik aliposimamishwa akawakwepa akatokea askari kanzu bila aibu akaanza kuwakimbiza watu wakapiga kelele akasimama akarudi anakimbia mbio to kituoni
Ye traffic wakiendelea na michezo yao ilisikitisha sana hili mzee mmoja kambeba mtoto wa miaka 9 amevaa uniform za shule yule traffic akasimamisha akasimama akamwambia mtoto ayuko sawa wale askari kanzu walipoona maongezi wakamfuata jamaa akakimbia huku akiyumba na yule mtoto
Askari mmoja kanzu akaanza kuwakimbiza amevaa shati ya orange watu wakapiga kelele akaona aibu na kurudi
Tukumbuke hizi style za kukamata zilishapigwa marufuku na rc huko nyuma na rto (sikumbuki kama ni wa sasa) kwa matukio yaliyotokea pale mwenge na ubungo ambapo shirikishi walikuwa wakikamata pikpik kwa style ya kuzikimbiza wanachukua funguo wanapeleka kwa traffic
Mhusika unaenda kubargain na traffic anakupa funguo
Wakadondosha watu wengi sana na baada ya video kadhaa kusambaa alianza rto akapiga stop shirikishi kukamata pikpik akaja na rc pia
Ikumbukwe uhai wa mtu haurudi kamwe ulemavu haurudi kamwe vile vyombo vya moto mtabaki kuwa navyo tu siku zote wao hawapo tena
Tunaomba mh rto kwa haya matukio tena mbele ya kituo cha polisi wachunguzwe na waondolewe
Naamini boss wa traffic hapa kawe alikuwa akijua ama kuona yanayotokea
Tunaomba kama unawajua basi vyema ikawaondoa kabisa ipo siku wananchi watashindwa kuvumilia wakiona watoto wanadondoshwa na polisi kanzu ama traffic
ushauri
Mh RTO hawa traffic na askari kanzu ikiwezekana mh wabadilishwe mapema kabla hakujatokea ajali ama vifo kwa raia wakiwa na pikpik
Inaonekana wamezoea sana ile eneo ndio mana hawana uwoga kufanya matukio kama haya
Ikumbukwe pale mwenge walikosea shirikishi wakamvuta abiria nguo akadondoka wakiwa wanataka kukimbia jamaa akawawahi wawili shirikishi (enzi hizo)
Kilichowapata hata traffic alisogea pale puma wakavuka wakaenda kituoni kwao yan aliwafunga shati akawahifadhi kibanda kile wanakaa polisi akapiga simu jiran wakaja kikosi kazi mkononi kimeandikwa pm
Ndugu walinyooshwa waliobakia hawakurudi tena na tena wakapelekwa kama unaenda tankibovu sijui walipoishia
Nini maana yake matukio ya kukimbilia pikpik hujui nani unamkimbiza pengine mnaishia kukimbizana wenyewe kwa wenyewe ama kudondoshana wenyewe kwa wenyewe
Wazo muhimu kabisaaaa
Kuwepo na sala maalum kabisa kila asbh kwa vituo vyote mungu awape hofu ya mungu hakika yataosha yote
Mfungo mwema wana wa mungu