Trafiki mwingine nusura auwawe

Trafiki mwingine nusura auwawe

Papaa Kinyani

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2013
Posts
1,459
Reaction score
699
Jamani juzi tu tumemzika Dada yetu Elikiza, leo trafiki mwingine kama anavyoonekana. Jamani madereva tuhurumieni.


Traffic.jpg
 

Attachments

  • Trafiki Chupuchupu.jpg
    Trafiki Chupuchupu.jpg
    32.9 KB · Views: 88
Jamani juzi tu tumemzika Dada yetu Elikiza, leo trafiki mwingine kama anavyoonekana. Jamani madereva tuhurumieni.


Traffic.jpg

Kumbe na wewe ni kijana wa Mwema, wape ujumbe jamaa zako wawe na discipline katika kuwasimamisha watu vinginevyo mtaisha.
 
acha wagogwe maana wamezidisha rushwa pili wanatumikia chama cha mafisadi wanatunyanyasa sana.
 
Pamoja na hatari yote hiyo jamaa haziachii documents mkononi! Kweli anaipenda kazi yake
 
mhhh hii picha imechakachuliwa hii, hyo anakagua ktu hapo tena yuko comfortable kabsa
 
Back
Top Bottom