TRAFIKI POLISI SINGIDA: Mjiandae kwa maafa makubwa yatakayosababishwa na escort za mabasi

TRAFIKI POLISI SINGIDA: Mjiandae kwa maafa makubwa yatakayosababishwa na escort za mabasi

Mtemi mpambalioto

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2015
Posts
3,436
Reaction score
7,955
Hii tabia ya kusimamisha mabasi kabla ya kutoka manyoni ukiwa unatoka Dodoma mpaka yafike 15 halafu mna aescort kwa kilometa kadhaa then wanaachiwa huko wapambanie msubiri ajali mbaya ya kugongana wao kwa wao kwa sababu zifuatazo

1: kwanza madereva wa mabasi wakifatana wengi wana hulka ya kupambana overtake kibao na sehemu hatari


2: mnakuwa mmechelewesha mabasi kwa sababu ya kusubiria yafike 15 au zaidi kwa dk 40 au zaidi! wanaamua kufidia muda wao hasa usiku

mkuu wa usalama barabarani kama wewe ni FREEMASON sawa ila usubirie kutuletea majanga yasiyofutika maisha

usipokemewa wewe muhaya unayejiskia utaona madhara yake baadae maana utaua ndugu zako wa bukoba na mwanza
 
Ni vizuri kila mkoa wanafanya hivi ingesaidia
Wanatembea kwa mwendo wa sare
 
Back
Top Bottom