Train Sinks into Indian Ocean- Kenya SGR users affected

Kwanza kabisa, nasikitika kuona janga limewapata ndugu zetu na kuna watu wsnafurahia.
Poleni sana jirani zetu kwa yaliyotokea.

Pili, hata bila kusoma habari yote, imeandikwa watumiaji wa SGR wameathirika na kuna barabara imefungwa, sasa nashindwa kuelewa, ni kweli hatuwezi kutofautisha kwamba reli iliyopata tatizo sio SGR au chuki na husda vinatuongoza?
 
Fuata hiyo link uisome na kuelewa, reli haikusombwa kama ilivyo kwenu, ila mchanga wa pembezoni.

Tofauti ya hizi picha ni bayana

Tanzania


Kenya

Inabidi wakenya muone aibu kulinganisha mgr ya tz iliyojengwa miaka ya 1905 na sgr ya yenu ya kisasa ya mwaka 2016 zote kuathiriwa na suala moja eti la mafuriko. Hii ni aibu kubwa sana kwenu wakenya. Yaani unalinganisha kitu ambacho kimetumika kwa miaka zaidi ya 100 na kile ambacho hakijamaliza hata mwaka [emoji23][emoji23][emoji23]

btw, wale vibarua mlipata pesa za kuwanunulia gumboots? Maana nchi kukosa hela za kununua vitu ka hivyo hadi watu wagome inafaa kuingia kwenye maajabu ya dunia[emoji28] [emoji28] [emoji28]
 
traffic kubwa iliyokuwepo kwenye barabara ya Changamwe - Mombasa ilizuia wasafiri kutoka Mombasa Island kufikia Airport na Sgr Terminus on time. So they were affected in some type of way.
 
Wakati huo SGR ilikua bado inajengwa, hapo iliposombwa na maji ilikua bado hapajawekewa slop protection ndo maana maji yalisomba huo mchanga.... lakini reli bado ilikua inapita bila wasiwasi...

umesahau pia sisi tuko na reli ya kitambo ambayo inafanya kazi hadi sasa na haijawahi kusombwa na maji!
 
Train derailment hutendeka kote duniani, jambo la kawaida, lakini yenu ilikua reli inasombwa na mafuriko...noma
Halafu huu uzi una fake news.. eti SGR.
Vipi kale kasafu kenu ka Dar-Moro mumeanza kukoroga zege ama bado mnaweka jiwe la msingi.
Ata mafuriko hutokea popote duniani.... Halafu Mafuriko ni Natural Disaster, hio derailment ni man made disaster, labda iwe imepigwa na upepo. Sasa ya kwenu ni Noma ya kwetu ndio kawaida, kupigana na nature si kazi rahisi
 
chuki za watu wengine hufanya watu wawe radhi kuamini habari yoyote, bora iwe mbaya tu..

leo hii jamaa mmoja wao akiibuka na mada kua Nairobi yachomeka , hio mada itafika ukurasa wa tano kabla mtu aconfirm kama ni uongo...jamaa watakua tayari wameshobokea vya kutosha
 
traffic kubwa iliyokuwepo kwenye barabara ya Changamwe - Mombasa ilizuia wasafiri kutoka Mombasa Island kufikia Airport na Sgr Terminus on time. So they were affected in some type of way.

Nimekuelewa na ndicho nilichokielewa mimi, fuatilia mijadala hapa, watu wanaandika utafikiri hitilafu umeikumba SGR.
 

Mwenyewe umeleta taarifa za SGR wakati inajengwa, sasa tena unaanza kulalamika.
 
Angalia hiyo picha vizuri ulinganishe na unachokisema
 
Mwenyewe umeleta taarifa za SGR wakati inajengwa, sasa tena unaanza kulalamika.
Taarifa ya sgr na mgr ilifunguliwa uzi na wewe, mimi nimetimiza wajibu wangu wa kushangaa hiyo comparison yako.

Halafu kuna swali la msingi unalikwepa
 
Kenya clears fuel spillage after cargo train derails on coast

Joseph Akwiri
2 MIN READ


MOMBASA (Reuters) - Kenyan authorities worked to clear fuel and recover damaged wagons on Monday a day after a train carrying 250,000 liters of petrol derailed at Mombasa and dumped part of its cargo into the Indian Ocean and onto a major highway, officials said.

Sunday’s spill left the port city, Kenya’s second largest city, cut off from the mainland for most of Sunday while police cordoned off the area to mitigate the risk of fire.

Thousands of road, plane and train travelers were stranded until the highway was reopened in the evening.


It was unclear how much of the petrol the train was carrying spilled into the ocean, police said, adding they had begun an investigation into what caused the accident.


On Monday, a team of engineers and other local experts were at work recovering five train wagons that were submerged in the ocean, Mombasa police chief Johnstone Ipara told Reuters.

The water that the wagons had careered into was slick with a substance that appeared to be a petrol product, a Reuters witness said.

The train, which had departed from Mombasa on Sunday, was traveling on a decades-old line that carries goods from ships that arrive at Mombasa’s port to the capital Nairobi.


A new cargo line opened in January, following the inauguration of a passenger line linking the two cities last year. Kenya’s government borrowed from China and hired a Chinese state-owned company to build the lines.

Reporting by Joseph Akwiri, Writing by Omar Mohammed, Editing by Maggie Fick, William Maclean

Our Standards:The Thomson Reuters Trust Principles.

Kenya clears fuel spillage after cargo train derails on coast
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…