Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Poleni jirani
NCHI YA KITU KIDOGO................Kenyans polen kwa tragedy hiyo.Ingekuwa BONGO mngechonga sana
Fuata hiyo link uisome na kuelewa, reli haikusombwa kama ilivyo kwenu, ila mchanga wa pembezoni.
Tofauti ya hizi picha ni bayana
Tanzania
![]()
Kenya
![]()
traffic kubwa iliyokuwepo kwenye barabara ya Changamwe - Mombasa ilizuia wasafiri kutoka Mombasa Island kufikia Airport na Sgr Terminus on time. So they were affected in some type of way.Kwanza kabisa, nasikitika kuona janga limewapata ndugu zetu na kuna watu wsnafurahia.
Poleni sana jirani zetu kwa yaliyotokea.
Pili, hata bila kusoma habari yote, imeandikwa watumiaji wa SGR wameathirika na kuna barabara imefungwa, sasa nashindwa kuelewa, ni kweli hatuwezi kutofautisha kwamba reli iliyopata tatizo sio SGR au chuki na husda vinatuongoza?
Wakati huo SGR ilikua bado inajengwa, hapo iliposombwa na maji ilikua bado hapajawekewa slop protection ndo maana maji yalisomba huo mchanga.... lakini reli bado ilikua inapita bila wasiwasi...Inabidi wakenya muone aibu kulinganisha mgr ya tz iliyojengwa miaka ya 1905 na sgr ya yenu ya kisasa ya mwaka 2016 zote kuathiriwa na suala moja eti la mafuriko. Hii ni aibu kubwa sana kwenu wakenya. Yaani unalinganisha kitu ambacho kimetumika kwa miaka zaidi ya 100 na kile ambacho hakijamaliza hata mwaka [emoji23][emoji23][emoji23]
btw, wale vibarua mlipata pesa za kuwanunulia gumboots? Maana nchi kukosa hela za kununua vitu ka hivyo hadi watu wagome inafaa kuingia kwenye maajabu ya dunia[emoji28] [emoji28] [emoji28]
Ata mafuriko hutokea popote duniani.... Halafu Mafuriko ni Natural Disaster, hio derailment ni man made disaster, labda iwe imepigwa na upepo. Sasa ya kwenu ni Noma ya kwetu ndio kawaida, kupigana na nature si kazi rahisiTrain derailment hutendeka kote duniani, jambo la kawaida, lakini yenu ilikua reli inasombwa na mafuriko...noma
Halafu huu uzi una fake news.. eti SGR.
Vipi kale kasafu kenu ka Dar-Moro mumeanza kukoroga zege ama bado mnaweka jiwe la msingi.
chuki za watu wengine hufanya watu wawe radhi kuamini habari yoyote, bora iwe mbaya tu..Kwanza kabisa, nasikitika kuona janga limewapata ndugu zetu na kuna watu wsnafurahia.
Poleni sana jirani zetu kwa yaliyotokea.
Pili, hata bila kusoma habari yote, imeandikwa watumiaji wa SGR wameathirika na kuna barabara imefungwa, sasa nashindwa kuelewa, ni kweli hatuwezi kutofautisha kwamba reli iliyopata tatizo sio SGR au chuki na husda vinatuongoza?
traffic kubwa iliyokuwepo kwenye barabara ya Changamwe - Mombasa ilizuia wasafiri kutoka Mombasa Island kufikia Airport na Sgr Terminus on time. So they were affected in some type of way.
Inabidi wakenya muone aibu kulinganisha mgr ya tz iliyojengwa miaka ya 1905 na sgr ya yenu ya kisasa ya mwaka 2016 zote kuathiriwa na suala moja eti la mafuriko. Hii ni aibu kubwa sana kwenu wakenya. Yaani unalinganisha kitu ambacho kimetumika kwa miaka zaidi ya 100 na kile ambacho hakijamaliza hata mwaka [emoji23][emoji23][emoji23]
btw, wale vibarua mlipata pesa za kuwanunulia gumboots? Maana nchi kukosa hela za kununua vitu ka hivyo hadi watu wagome inafaa kuingia kwenye maajabu ya dunia[emoji28] [emoji28] [emoji28]
Angalia hiyo picha vizuri ulinganishe na unachokisemaWakati huo SGR ilikua bado inajengwa, hapo iliposombwa na maji ilikua bado hapajawekewa slop protection ndo maana maji yalisomba huo mchanga.... lakini reli bado ilikua inapita bila wasiwasi...
umesahau pia sisi tuko na reli ya kitambo ambayo inafanya kazi hadi sasa na haijawahi kusombwa na maji!
Taarifa ya sgr na mgr ilifunguliwa uzi na wewe, mimi nimetimiza wajibu wangu wa kushangaa hiyo comparison yako.Mwenyewe umeleta taarifa za SGR wakati inajengwa, sasa tena unaanza kulalamika.