How about Universities' Transcript,actually they have not specified?Msaada please.
mkuu vyeti vya chuo vipoje...mi huwa najua hii trancsript yangu ndo cheti koz ndo kina matokeo na mchakato wote wa kiacademia, kile cheti kingine ni cha award tu! nipeni mwanga hapa ndugu zanguwanata vyeti halisi vya sekondar mpaka chuo, na si result 3p or transcript or maelezo ya aina yoyote yanayosimama badala ya vyeti.
mkuu vyeti vya chuo vipoje...mi huwa najua hii trancsript yangu ndo cheti koz ndo kina matokeo na mchakato wote wa kiacademia, kile cheti kingine ni cha award tu! nipeni mwanga hapa ndugu zangu
Transcript ndio zinakuwaga more descriptive kuliko vyeti. Provisional results are plainly NOT acceptable by any standards, sasa sijui zaidi maana nchi hii kila kitu chaenda kinyumenyume.
mkuu vyeti vya chuo vipoje...mi huwa najua hii trancsript yangu ndo cheti koz ndo kina matokeo na mchakato wote wa kiacademia, kile cheti kingine ni cha award tu! nipeni mwanga hapa ndugu zangu
tz kinachowezekana hakiwezekani, na visivyowezekana ndivyo vinawezekana...ni katika kutaka kukomoana tu.
ndo inabid mpungue mana 2ko weng wa toka mwaka juz kitaa!
Transcript ndio zinakuwaga more descriptive kuliko vyeti. Provisional results are plainly NOT acceptable by any standards, sasa sijui zaidi maana nchi hii kila kitu chaenda kinyumenyume.