Transcripts are not allowed!!

Transcripts are not allowed!!

Jamani refer tangazo la tarehe 28 may, wameeleza vizuri! Transcript kwa postgraduates/adv.diplama/diploma/degree ndo zinatakiwa. Soma vzur mtaelewa! Walitumia transcript wako sahihi kabisa.
 
Kipindi nisipochanganyikiwa sichanganyikiwi tena. Eee mungu tukumbuke waja wako. Maana matatizo yamekuwa lukuki.
 
ni nchi gani wanaotumia transcript badala ya certificate? Kama huna cheti, subiri tu vitoke. Sio kutoa lawama zisizo na msingi
kweli midanganyika ni miguruwe iliyozowea shida na shurba!, sasa wewe unaona ni haki mtu kunyimwa kazi wakati anayo transcript ambayo ni more descriptive na degree au diploma yake kisa hana cheti? fyi wenzenu hawaishi kwene u-stone age huo unaoukumbatia, since after graduation ceremony tu hapohapo unapewa transcript na certificate yako unaishia ukapambane mtaani. anapotokea mtu anatetea longolongo badala ya kukemea thats rock-bottom.
 
Jamani refer tangazo la tarehe 28 may, wameeleza vizuri! Transcript kwa postgraduates/adv.diplama/diploma/degree ndo zinatakiwa. Soma vzur mtaelewa! Walitumia transcript wako sahihi kabisa.

Transcripts, Testimonials, Partial transcripts and results slips will not be accepted. hivi hii sentesi ndiyo inaruhusu? Ebu tuache kujifariji jamani
 
aisee,pole sana mdau,ulisomea nini hasa???????

Na wapi????

b.a social science major in language udsm, upper 2nd, we bado uko skonga eh? Then kua uyaone, cz hata mimi nlikua nashangaa ka wewe, na If kazin hongera.
 
kamati iliyokaa kukubali zile leaving certificate za chuo a.k.a vyeti na kukataa transcript ndo ile ile iliyokaa kuunganisha Chemistry na Physics ziwe somo moja...naona lile pepo bado linatuandama hata baada ya kulikemea!!
 
b.a social science major in language udsm, upper 2nd, we bado uko skonga eh? Then kua uyaone, cz hata mimi nlikua nashangaa ka wewe, na If kazin hongera.

Mkuu sidhani kama uliulizwa kuwa ulipata 1st Class, Upper second, Lower second au Pass. Watu wengine kwa kujishaua misifa tu imekujaa. Haya kila la kheri na hiyo Upper second yako lakini utumishi hawaangalii hiyo.
 
nilikua namaana yangu, maana ameshangaa kwanin niko kitaa akataka kujua kozi ikabid nitaje mpaka chuo na GPA, then siko kiutumishi zaidi niko ktk kusaka kaz ivyo popote kambi.
 
Mkuu sidhani kama uliulizwa kuwa ulipata 1st Class, Upper second, Lower second au Pass. Watu wengine kwa kujishaua misifa tu imekujaa. Haya kila la kheri na hiyo Upper second yako lakini utumishi hawaangalii hiyo.

ha ha ha....mbona upper second ya mdau imekuboa hivyo mkuu?
 
Mimi Nimetupia hivyo hivyo na Prov results.
 
ha ha ha....mbona upper second ya mdau imekuboa hivyo mkuu?

Sio hivyo mkuu ropam mbona watu tumepiga ma 1st class tena ya kozi za maana lakini hatuyasemi hapa, sasa yeye anajidai na ki upper 2nd chake tena cha ungwini. Anyway lakini nimemuelewa alitaka kumpa somo dogo huyo ambaye ana moto kapata ajira. Pamoja sana mkuu
 
mbona unafanya unayoyakataza? Haya tushajua ulipata 1st class
 
Wakuu, tangazo ni laajabu sana. kwenye makampuni binafsi CV ni kitu cha kwanza kuliko vyeti Lakini kwa mifumo ya serikali sijaelewa wanalenga nini! Any way....
 
Sio hivyo mkuu ropam mbona watu tumepiga ma 1st class tena ya kozi za maana lakini hatuyasemi hapa, sasa yeye anajidai na ki upper 2nd chake tena cha ungwini. Anyway lakini nimemuelewa alitaka kumpa somo dogo huyo ambaye ana moto kapata ajira. Pamoja sana mkuu

ki upper 2nd chake tena cha ungwini, acha dharau rafik yangu, nenda udsm(bals). then uliza huohuo ungwin unaoudharau wewe kama hata izo upper 2nd watu wanazipata, u have no ryt to judge sm1 programs unles ur in that shit too.
 
Back
Top Bottom