bishankara
Senior Member
- Feb 21, 2012
- 140
- 8
kweli midanganyika ni miguruwe iliyozowea shida na shurba!, sasa wewe unaona ni haki mtu kunyimwa kazi wakati anayo transcript ambayo ni more descriptive na degree au diploma yake kisa hana cheti? fyi wenzenu hawaishi kwene u-stone age huo unaoukumbatia, since after graduation ceremony tu hapohapo unapewa transcript na certificate yako unaishia ukapambane mtaani. anapotokea mtu anatetea longolongo badala ya kukemea thats rock-bottom.ni nchi gani wanaotumia transcript badala ya certificate? Kama huna cheti, subiri tu vitoke. Sio kutoa lawama zisizo na msingi
Jamani refer tangazo la tarehe 28 may, wameeleza vizuri! Transcript kwa postgraduates/adv.diplama/diploma/degree ndo zinatakiwa. Soma vzur mtaelewa! Walitumia transcript wako sahihi kabisa.
aisee,pole sana mdau,ulisomea nini hasa???????
Na wapi????
b.a social science major in language udsm, upper 2nd, we bado uko skonga eh? Then kua uyaone, cz hata mimi nlikua nashangaa ka wewe, na If kazin hongera.
Mkuu sidhani kama uliulizwa kuwa ulipata 1st Class, Upper second, Lower second au Pass. Watu wengine kwa kujishaua misifa tu imekujaa. Haya kila la kheri na hiyo Upper second yako lakini utumishi hawaangalii hiyo.

ha ha ha....mbona upper second ya mdau imekuboa hivyo mkuu?
Sio hivyo mkuu ropam mbona watu tumepiga ma 1st class tena ya kozi za maana lakini hatuyasemi hapa, sasa yeye anajidai na ki upper 2nd chake tena cha ungwini. Anyway lakini nimemuelewa alitaka kumpa somo dogo huyo ambaye ana moto kapata ajira. Pamoja sana mkuu
mbona unafanya unayoyakataza? Haya tushajua ulipata 1st class